Kituo kinachofuata

Kituo kinachofuata

Vincenzo Jr

Platinum Member
Joined
Sep 23, 2020
Posts
24,262
Reaction score
58,728
Wewe wakati unakula 5 nani alikuwa mwekezaji kazi kumlaumu pamba jiji njoeni Tena wanatu tuwape mnachokitaka
20241003_205651.jpg
 
Atakae Kutana Na Yanga Ataonja Maumivu Ya Mikasi Na Viwembe Vikali Kutoka Kwa YANGA
 
Kelele zimepungua heshima imerudi mahala pake baada ya kugundua mechi inayofuata 19.10.2024 tutakwenda kukata mzizi wa fitna. Gamondi alipo sema tuwe na subra bado kuna mechi 27 zimebaki alikuwa anamaanisha, ni kocha mwenye LESENI na sio mchambuzi. Aucho na Muda walipewa likizo?
 
Yani mtaumbuka vibaya mnooo...
Yani hapa umepuyanga...ndo maana nasema ukiwa shabiki wa uto fyuzi moja inalegea...😃😃😃😃
Pole mtani Vincenzo Jr
Ingekua ndo mpira uko hivyo basi tungekua tunawafunga
6 -0 kila msimu...
 
Back
Top Bottom