Kituo kinachofuata

Atakae Kutana Na Yanga Ataonja Maumivu Ya Mikasi Na Viwembe Vikali Kutoka Kwa YANGA
 
Kelele zimepungua heshima imerudi mahala pake baada ya kugundua mechi inayofuata 19.10.2024 tutakwenda kukata mzizi wa fitna. Gamondi alipo sema tuwe na subra bado kuna mechi 27 zimebaki alikuwa anamaanisha, ni kocha mwenye LESENI na sio mchambuzi. Aucho na Muda walipewa likizo?
 
Yani mtaumbuka vibaya mnooo...
Yani hapa umepuyanga...ndo maana nasema ukiwa shabiki wa uto fyuzi moja inalegea...πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
Pole mtani Vincenzo Jr
Ingekua ndo mpira uko hivyo basi tungekua tunawafunga
6 -0 kila msimu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…