PreGE2025 Kitwana apiga marufuku matangazo na picha za makaratasi za wagombea

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153
Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharib Unguja Mheshimiwa Idrissa Kitwana Mustafa amepiga marufuku matumizi ya picha za makaratasi kwa wagombea katika maeneo yota ya mkoa huo huku akitaka watumie picha za kidigitali ili kuleta haiba nzuri ya mji.

RC Kitwana ametoa maagizo hayo wakati akizungumza na waandishi wa habari ofisini Kwake Vuga Zanzibar ikiwa umesalia muda mchache kuelekea katika kipindi cha kampeni za uchaguzi Mkuu wa Oktoba, 2025.

Amesema kuwepo kwa ubandikaji wa makaratasi kwenye kuta mbalimbali kunaondosha haiba hasa wakati karatasi hizo zinapochakaa na kusababisha uchafuzi wa mazingira, hovyo amewataka wagombea kujianda kubandika picha za kidigitali ili kuleta haiba nzuri ya Mji huo.

1750936762951.png
Chanzo: Wasafi Fm
 
Kushiba kupitiliza maana yake ni kuvimbiwa
 
View attachment 3384510
chanzo: Wasafifm​
Sio ajabu hizo karatasi zipo standby zikisubiri siku ya kubandikwa. Yote heri, wapiga kura watafanya maamuzi.
 
Back
Top Bottom