Kitwanga: Bei ya mafuta ilipaswa kushuka ila tunaibiwa na wanaCCM

Huwezi kusema tu bei ilipaswa kuwa chini ya hapo bila maelezo ya kutosha kwanini unafikiri hivyo.Bila ushahidi wa kutetea hoja yako tamko hili ni populist garbage inayostahili kuwa kwenye dustbin.
 
Huwezi kusema tu bei ilipaswa kuwa chini ya hapo bila maelezo ya kutosha kwanini unafikiri hivyo.Bila ushahidi wa kutetea hoja yako tamko hili ni populist garbage inayostahili kuwa kwenye dustbin.
Wanasiasa asilimia kubwa ndiyo wafañya biashara au waña hisa.
 
Na huo ndio ukweli maana ata soko la dunia bei imeshuka muda kidogo tofauti na iliyopo sasa.

Serikali haitaki kushusha maana ina amini ongezeko la mafuta mfano diesel tunalilipia kupitia ongezeko la nauli so wao wanaendelea kuingiza tuu
 
Kitwanga yupo sahihi kwenye hili, hiyo bei ya mafuta haina uhalisia na inaongezea wananchi ugumu wa maisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…