Kitwanga: Bei ya mafuta ilipaswa kushuka ila tunaibiwa na wanaCCM

Kitwanga: Bei ya mafuta ilipaswa kushuka ila tunaibiwa na wanaCCM

Na Upinzani Uliopo ndio Upo Busy Kupambana Na Jina La Marehemu
Hawana Muda Na Shida za Watanzania
Wenye muda na shida za watz ni ccm waliopo madarakani kwa miaka zaidi ya 60 huku watz wakizidi kutopea kwenye umaskini.
Aliyewaroga watz sijui nani, yaani ccm iwanyonye na kuwafanya maskini halafu ilaumiwe chadema!
 
Back
Top Bottom