Kitwanga: Bei ya mafuta ilipaswa kushuka ila tunaibiwa na wanaCCM

Na Upinzani Uliopo ndio Upo Busy Kupambana Na Jina La Marehemu
Hawana Muda Na Shida za Watanzania
Wenye muda na shida za watz ni ccm waliopo madarakani kwa miaka zaidi ya 60 huku watz wakizidi kutopea kwenye umaskini.
Aliyewaroga watz sijui nani, yaani ccm iwanyonye na kuwafanya maskini halafu ilaumiwe chadema!
 
Anzisha chama cha upinzani umsifie marehemu na kuongelea shida za wananchi.
Umekua mjinga sana siku Hizi broo.. hoja zako zimekuwa za kijinga pia
NB ujinga sio upumbavu na Wala sio tusi..jielimishe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…