KIU Dar Es Salaam College

KIU Dar Es Salaam College

nkawa

Senior Member
Joined
May 11, 2009
Posts
181
Reaction score
10
Kampala international University, Dar es Salaam college inatarajia kuanza masomo jumatatu baada ya likizo fupi ya sikukuu ya mwaka mpya na xmas. Kuna taarifa kwamba hadi sasa Chuo hakijalipa mishahara kwa wafanyakazi wake wote wakiwemo waaliimu kwa miezi 2 sasa. Hali hii si kwa Dar es Salaam college hata University Main campus Uganda hali ni mbaya. Kuna baadhi ya waalimu walitoka nchi za Uganda na Kenya wanaoishi hapa, wako kwenye hali mbaya ya kifedha na kimaisha. Mitihani ya kumaliza muhula inatarajiwa kuanza mwisho wa mwezi January. Nini hatima ya wanafunzi?
 
Peleka jukwaa la elimu kule
 
KIU ni chuo cha waliofail

Wewe bado uko na imani ya zile za kizamani? Mambo ya Ilbolu,Mzimbe nk? Mambo yamebadilika cku hz, ata ilbolu nao walikuwa wanatoa zero na shule nyingine zikafaulisha..... acha ushamba jaribu kufuatilia
 
Ukwel unauma lkn ndo hivyo,chuo ambacho kilikuwa hakitambuliki na TCU,ht mwenye div 4 anasoma degree direct.
 
Wewe bado uko na imani ya zile za kizamani? Mambo ya Ilbolu,Mzimbe nk? Mambo yamebadilika cku hz, ata ilbolu nao walikuwa wanatoa zero na shule nyingine zikafaulisha..... acha ushamba jaribu kufuatilia

kiu nacho ni chuo kweli?
 
UKWELI UTABAKI KUWA UKWELI...tuache kuchukia pale tunapoambiwa ukweli. Vyuo kama KIU ni vyuo wanavyokimbilia wale "vilaza". Hata mtu mwenye Division Four anakuwa admitted pale for LLB - Bachelor of Law. MY TAKE: Taasisi husika yaani TCU, NACTE na vyombo vingine fanyeni kazi zenu kiusahihi. Chuo gani kinaanza tu na kutoa karibu fani zote kwa viwango vya certificates,diplommas,bachelors,postigraduates na masters????
 
Vyuo vyote vya tanzania ni ovyo mbona ifm vijana wanasoma computer science na it lakini chuo hakina hata karakana ya wanafunzi kujifunzia hivi hili hamlioni.......
 
UKWELI UTABAKI KUWA UKWELI...tuache kuchukia pale tunapoambiwa ukweli. Vyuo kama KIU ni vyuo wanavyokimbilia wale "vilaza". Hata mtu mwenye Division Four anakuwa admitted pale for LLB - Bachelor of Law. MY TAKE: Taasisi husika yaani TCU, NACTE na vyombo vingine fanyeni kazi zenu kiusahihi. Chuo gani kinaanza tu na kutoa karibu fani zote kwa viwango vya certificates,diplommas,bachelors,postigraduates na masters????

mara nyingi sentensi kama hizi wanatoa wale wanaosoma kwenye vyuo vya tz vya gvt. in labour market product za KIU ni the best. wanafundishwa kivitendo zaidi. na wanapata uwezo mzuri sana wakujieleza. ufundishaji wa KIU na vyuo vingine TZ ni tofauti kabisa... dats the fact.

kuhusu kuanza tu na kutoa fani zote hizo..hope u don know KIU sio chuo kama IFM kinachopatikana TZ tu ..kile ni international main is in Kampala so hii iliyopo hapa ni branch tu.. kama kuassess service za KIU utaanza kuangalia main branch inatoa quality gani za service zake..pia mind you capital mattaz alot.. mapaka kikasajiliwa na TCU ujue qualifications za enrollment za student ni moja na vyuo vingine ka UD, mzumbe etc.
 
Back
Top Bottom