Kampala international University, Dar es Salaam college inatarajia kuanza masomo jumatatu baada ya likizo fupi ya sikukuu ya mwaka mpya na xmas. Kuna taarifa kwamba hadi sasa Chuo hakijalipa mishahara kwa wafanyakazi wake wote wakiwemo waaliimu kwa miezi 2 sasa. Hali hii si kwa Dar es Salaam college hata University Main campus Uganda hali ni mbaya. Kuna baadhi ya waalimu walitoka nchi za Uganda na Kenya wanaoishi hapa, wako kwenye hali mbaya ya kifedha na kimaisha. Mitihani ya kumaliza muhula inatarajiwa kuanza mwisho wa mwezi January. Nini hatima ya wanafunzi?
KIU ni chuo cha waliofail
KIU ni chuo cha waliofail
Wewe bado uko na imani ya zile za kizamani? Mambo ya Ilbolu,Mzimbe nk? Mambo yamebadilika cku hz, ata ilbolu nao walikuwa wanatoa zero na shule nyingine zikafaulisha..... acha ushamba jaribu kufuatilia
acha dharau bwana!
Wewe bado uko na imani ya zile za kizamani? Mambo ya Ilbolu,Mzimbe nk? Mambo yamebadilika cku hz, ata ilbolu nao walikuwa wanatoa zero na shule nyingine zikafaulisha..... acha ushamba jaribu kufuatilia
KIU ni chuo cha waliofail
Waliofeli pia wanahitaji huduma bora ya kielimu!!KIU ni chuo cha waliofail
Ni chuo mkuu,suala la ubora ni suala jingine kabisa!!kiu nacho ni chuo kweli?
UKWELI UTABAKI KUWA UKWELI...tuache kuchukia pale tunapoambiwa ukweli. Vyuo kama KIU ni vyuo wanavyokimbilia wale "vilaza". Hata mtu mwenye Division Four anakuwa admitted pale for LLB - Bachelor of Law. MY TAKE: Taasisi husika yaani TCU, NACTE na vyombo vingine fanyeni kazi zenu kiusahihi. Chuo gani kinaanza tu na kutoa karibu fani zote kwa viwango vya certificates,diplommas,bachelors,postigraduates na masters????
Waliofeli pia wanahitaji huduma bora ya kielimu!!