What women want
Kiu ya mwanamke ni nini walakini?
1) Kupendwa?
2) kuheshimiwa?
3) kuzabuliwa kama ishara ya kupendwa? Some women want to be abused.......they aver............
4) Kufanywa na ampendaye?
5) Pesa na mali tu?
6) Kujitegemea kwa khali na mali.............
7) Kujifahamu kupitia kujamiaana.......discovering life through sex..................
8) Apolitical orgasms...................for whatever they mean and allude............
Kiu yake waifahamu........kumbuka ukitaka kumvua samaki si yabidi ujue kiu yake nini.....................kama ni chambo basi mtaka cha mvunguni sharti ainame.........kwa kumvuta kwa chambo.........na kwa mwanamke kiu yako ni nini? Ili uvuliwe kutoka kwenye dimbwi la upweke............
kiu ya mwanamke aliyekamilika lazima awe na mume ili kila kitu kiende sawa kwa upande wake.bila mume hakuna chochote cha kumfurahisha/kitakachomfurahisha mwanamke.mengine ni ziada tu.
mmmh mkuu imeijumuisha sana kwani si kila mwanamke anaweza akawa sawa ki mlengo
Mkuu hapo kila mwanamke analo pendekezo lake kati ya hayo uliyotaja hapo juu ila sidhani kama kuna ambae anavyote
mie 1,2 na 4 hapo unaniokota kabisa pesa matokeo...
Inategemea na kila mwanamke kutokana na swali lako, mimi nao wajua ndo wako kwenye 2 na 4.kabla hawajafikia kule.........ni vitu gani viliwavutia.............utashangaa kuona namba 5 na 6.................ndiyo msukumo unakotokea na wala siyo namba 2 na 4 kama ulivyobaini......
wasipokuwa wazi itabidi ufanye ile risk analysis ambayo hadi sasa tunaisubiria kutoka kwa Mugglin..........
wanawake wengi wanapenda 1.uhakika wa kipato na chakula 2. Kupigwa mti vizuri 3.kuheshimiwa na kuthaminiwa. Hizo nimezipanga in the order of preference..
Tupe Risk analysis yako kwenye hili......
...what is..."RISK ANALYSIS.."
...what is..."RISK ANALYSIS.."
Mugglin ndiye kaanzisha huu mtafaruku na bado tunamsubiria afafanue ni nini haswa?.........are there risk needed to be sorted out?
Kwenye hii ipi sasa? Hujanielewa!
Kila mtu ana vitu specific anavyopenda kwenye maisha. Mfano, hiyo #4 kwangu haina umuhimu sana, naamini ni kitu tunaweza kujengana na kufundishana.
Yaani wewe na Ruta mtandao mnatumia kwa facebook na jf tu? Google, acha uvivu! Afu take note kuwa Risk Analysis results sio copy and paste! Hata kama ni same nature settings zinakuwanga tofauti,sawa?
Kupigwa mti vizuri