Kiu ya mwanamke ni nini?

Kiu ya mwanamke ni nini?

kiu ya mwanamke aliyekamilika lazima awe na mume ili kila kitu kiende sawa kwa upande wake.bila mume hakuna chochote cha kumfurahisha/kitakachomfurahisha mwanamke.mengine ni ziada tu.
 
What women want

Kiu ya mwanamke ni nini walakini?

1) Kupendwa?

2) kuheshimiwa?

3) kuzabuliwa kama ishara ya kupendwa? Some women want to be abused.......they aver............

4) Kufanywa na ampendaye?

5) Pesa na mali tu?

6) Kujitegemea kwa khali na mali.............

7) Kujifahamu kupitia kujamiaana.......discovering life through sex..................

8) Apolitical orgasms...................for whatever they mean and allude............

Kiu yake waifahamu........kumbuka ukitaka kumvua samaki si yabidi ujue kiu yake nini.....................kama ni chambo basi mtaka cha mvunguni sharti ainame.........kwa kumvuta kwa chambo.........na kwa mwanamke kiu yako ni nini? Ili uvuliwe kutoka kwenye dimbwi la upweke............

Mkuu hapo kila mwanamke analo pendekezo lake kati ya hayo uliyotaja hapo juu ila sidhani kama kuna ambae anavyote
 
mmmh mkuu imeijumuisha sana kwani si kila mwanamke anaweza akawa sawa ki mlengo
 
kiu ya mwanamke aliyekamilika lazima awe na mume ili kila kitu kiende sawa kwa upande wake.bila mume hakuna chochote cha kumfurahisha/kitakachomfurahisha mwanamke.mengine ni ziada tu.

ni ukweli usiopingika furaha ya bibi ni kuwa na bwana...........lakini bwana wa namna gani na hapo ndipo kiu yake ilipo......kwa sababu siyo kila bwana atamkubali lazima aguse vionjo vyake
 
mmmh mkuu imeijumuisha sana kwani si kila mwanamke anaweza akawa sawa ki mlengo

sijasema lazima yawe hayo yote au hata baadhi lakini ninaamini nimeyagusia yale ambayo huwazuzua wengi wao..............
 
Mkuu hapo kila mwanamke analo pendekezo lake kati ya hayo uliyotaja hapo juu ila sidhani kama kuna ambae anavyote

Ni kweli katika haya wewe lipi unaona wanalipa kipaumbele?
 
wanawake wengi wanapenda 1.uhakika wa kipato na chakula 2. Kupigwa mti vizuri 3.kuheshimiwa na kuthaminiwa. Hizo nimezipanga in the order of preference..
 
kabla hawajafikia kule.........ni vitu gani viliwavutia.............utashangaa kuona namba 5 na 6.................ndiyo msukumo unakotokea na wala siyo namba 2 na 4 kama ulivyobaini......
Inategemea na kila mwanamke kutokana na swali lako, mimi nao wajua ndo wako kwenye 2 na 4.

Inategemea na area unazo ishi pia kama unaishi mtaa wa fisi hizo 2 na 4 hazipandi chat hata siku moja.
 
wanawake wengi wanapenda 1.uhakika wa kipato na chakula 2. Kupigwa mti vizuri 3.kuheshimiwa na kuthaminiwa. Hizo nimezipanga in the order of preference..

kwa hiyo profess unataka kuniambia kupendwa siyo namba moja?......wengi baada ya kuwekwa ndani huo mti huukwepa wakidai wanauchovu wa kudumu.............
 
...what is..."RISK ANALYSIS.."

Mugglin ndiye kaanzisha huu mtafaruku na bado tunamsubiria afafanue ni nini haswa?.........are there risk needed to be sorted out?
 
Yaani wewe na Ruta mtandao mnatumia kwa facebook na jf tu? Google, acha uvivu! Afu take note kuwa Risk Analysis results sio copy and paste! Hata kama ni same nature settings zinakuwanga tofauti,sawa?
...what is..."RISK ANALYSIS.."
 
Kwenye hii ipi sasa? Hujanielewa!
Kila mtu ana vitu specific anavyopenda kwenye maisha. Mfano, hiyo #4 kwangu haina umuhimu sana, naamini ni kitu tunaweza kujengana na kufundishana.

bila na. 4 kuna maelewano kweli?.......hapo sindpo unakaribisha mpango wa kando.......
 
Yaani wewe na Ruta mtandao mnatumia kwa facebook na jf tu? Google, acha uvivu! Afu take note kuwa Risk Analysis results sio copy and paste! Hata kama ni same nature settings zinakuwanga tofauti,sawa?

Mugglin twende pole pole..........mada hii sijaitoa huko ila kwenye gazeti la UK the Guardian........baada ya masahihisho ni kuwa unapojenga khoja uwe tayari kuitetea......................Risk analysis is persuasive tenet until we begin an earnest job of asking the deponent the big questions of how, what, when etc etc..................that is where men are separated from boys.......................
 
Kiu yangu ni kupendwa, pesa na mali +kujamiiana.
Hivi unaweza ukapendwa halafu usiheshimiwe?
 
Back
Top Bottom