Kiu ya mwanaumme kwa binti ni…

Kiu ya mwanaumme kwa binti ni…

Hebu tuanzie hapa.
Hili lilikuwa jibu kwa mwenzio:

Unataka wenye akili timamu? Haya niambie wale ambao sio tu wanaakili timamu, ambao wametumia zaidi ya miaka 20 shuleni na sisi tunawaita wasomi tena wacha mungu wanapo zaa na wake za watu au masita wa kanisani, hawa nao shida yao nini?
(nazungumzia "mapadri").


Na hili lilikuwa jibu lako kwangu:
Tiger mbona waulizia majibu tu?......kiu yao ni utii tu hawana shida nyingine kuhuzu viapo vyao vile vilikuwa kujihakikishia kipande cha mkate na "vijisenti" tu havina uhusiano na Muumba...............


Inamaana uwezo wako wa kujieleza uliishia hapo.

Nikaja kwako:


Chukua hii kisha tafakari "A man who can not control him self 'SEXUALLY', can not be depended on any decision he may make"
Angalia sana hilo neno kwenye capitals ni pana zaidi ya lilivyozoeleka


Wewe ukajibu:

Tiger........hapo umepata jackpot.....................bi la ya zengwe.


Nikakuomba:

Una maana gani? Hebu fafanua.


Kabla hujanijibu akaja jamaa yako:

Umequote nusu nusu nimesema kiakili na kiafya,
Kukaa mda mrefu masomoni kwaweza onyesha una akili lakini kiafya je? huyu mtu anaweza kuwa na tatizo kisiklojia linmpelekea kufanya hivyo. Maana sio wote katika kundi ulilotaja wanafanya hivyo! na wengine wanafanya lakini kwa kupata utii wa wenzao sio kwa kubaka tu.
-Mifano unayo wanazaa na wana watoto wengi tu mitaani tofauti na kesi za kubakwa zilizolipotiwa, hivyo huwa kuna utii kati yao na wanaozaa nao!.


Ukampongeza:

Kyaiyembe............naona umeshindilia suala la utii mahali yake kabisa.......hata Tiger huenda akaingia mitini ....


Na huu ufafanuzi wako:

Tiger naona Kyaiyembe kesha kutoa ufafanuzi wa ziada khapo.................


Sasa kwa hoja hizo unadhani kuna haja ya kupotezeana muda?
Hapana, ninyi endeleeni.

Tiger uko juu kwa ufuatiliaji.............................
 
Last edited by a moderator:
Mmh naona hizi topic ziko out of my comfort zone. Kila la heri though!
[MENTION]
Unstoppable[/MENTION] wewe unataka niangushe mada ambazo zimo ndani ya "your comfort zone" sasa hizo hazitakujenga bali hiz ambazo zinakupa changamoto ya kuiangalia dunia kwa sura tofauti kidogo..............
 
I totally agree with u that 'a woman must always bring some initiative to work' but this has got to do with how both of u presented urselves to each other from day one. Ni kweli mwanamke anaplay big role kwa hii ili iwe vile iwe......HAPPY MAN
p

Pakawa lazima nikiri tofauti zetu ni kidogo sana nina kazi ya kurekebisha Kaunga arudi kwenye mstari afaidi penzi la bwana wake...........LOL
 
Last edited by a moderator:
wanawake nao yaani akiitwa na mwanaume anajua unataka kumtongoza tuu kumbe wewe huna hata wazo. Asante kaka kwa kuwapasha.
 
wanawake nao yaani akiitwa na mwanaume anajua unataka kumtongoza tuu kumbe wewe huna hata wazo. Asante kaka kwa kuwapasha.

Arvin sloane.............humu ndani wanang'aka kweli kwa sababu siri zao nimeziweka mezani...............LOL
 
Last edited by a moderator:
Baada ya kupata UCHI then UTII ndio mwanaume huangalia.. & is in series.... baada ya kula UCHI then ukala ukalaaa ukalaaaa na kulalaaaaa laaaaa..... sasa mwanaume anaanza kuwa serious kwamba this is nice girl.... So what next.... Ananiheshimu, UTII watch out... awe mwaminifu pia, i mean wife 2 be oriented woman....then ndoa inakuja yenyewe tu, easy bby.... A is A, B is B, ur language physically, heartly, emotionally, mentally is ONE, hapo ndio NDOA hiyoooo.... Then mnafunga HARUSI MKASHEREHEREE KULANAAAA IN -- OUT

Mabinti wengi hutafakari kiu ya kidume ni nini haswa?
Wakitaka kufumbua kitendawili cha kiu bila ya majibu!
Wengi hugharimia mengi lakini majibu huwa haba….
Wengi hufikiria kiu ya kidume ni kuuchimbua utupu wao!
Kiu ya kidume kwa binti ni fumbo nami kulifumbua.

Kiu ya binti siyo kificho kwani hadharani huimwaga!
Akikutupia jicho la mahaba huhitaji kujiuliza ataka nini!
Akikuongelesha wajua sauti yake mwororo ina jambo!
Hata kama umejificha atakutoa pangoni na pendo lake!
Kiu ya kidume kwa binti ni fumbo nami kulifumbua.

Mwanaumme kueleweka siyo rahisi hata chembe.
Kwani rekodi yake huwa ni kizungumkuti kabisa.
Rekodi yake humsuta kama mpita njia asiye masikani.
Mabinti kuchukua tahadhari majanga yasije kuwadhuru.
Kiu ya kidume kwa binti ni fumbo nami kulifumbua.



Kijuujuu utafikiri kiu ya kidume ni uchi!
Lakini ukizama hiyo ni dalili ya kiu yake!
Kiu ya kidume ni utii wa binti na siyo uchi!
Binti hudhani uchi ndiyo wenyewe kumbe la!
Kiu ya kidume kwa binti ni fumbo nami kulifumbua.
 
No, umesema hapo juu kuwa cheating ni sign ya problem na possibility kubwa ni insecurity ambayo mimi nimeisababisha kwa kumnag au kumcompare na watu wengine nk.........
So the root cause is me (mwanamke)

My question is what r u guys made of? N what women r made of?

Chukulia situation nyingine, pale ambapo mimi nafeel insecure, will it be caused by my man or my own weakness? Should l also cheat, ili nami nifeel kuwa l am still attractive to other people?

Kaunga when will you learn? Stop comparing yourself wiht the man of your life.......we are different...............very different to speak once, though...................
 
Last edited by a moderator:
Baada ya kupata UCHI then UTII ndio mwanaume huangalia.. & is in series.... baada ya kula UCHI then ukala ukalaaa ukalaaaa na kulalaaaaa laaaaa..... sasa mwanaume anaanza kuwa serious kwamba this is nice girl.... So what next.... Ananiheshimu, UTII watch out... awe mwaminifu pia, i mean wife 2 be oriented woman....then ndoa inakuja yenyewe tu, easy bby.... A is A, B is B, ur language physically, heartly, emotionally, mentally is ONE, hapo ndio NDOA hiyoooo.... Then mnafunga HARUSI MKASHEREHEREE KULANAAAA IN -- OUT

pilot...........uchi ni dalili ya utii na waka siyo vinginevyo...................tafakari utanielewa...................atakupa uchi kam ahan autii kwako wafikiri?
 
Last edited by a moderator:
ooh please Ruta...most men are insecure not because of their spouse but their own ghosts haunting them! and since they do not want to share their problems for fearing to hurt their image what can women do??.... no amount of UTII can remove insecurity not even a woman worships you!!

Sashel Insecurities run both ways and most likely childhood upbringing is the staple culprit but knowing your man has always been beneficial and refusing to take care of his cravings -which are many and quite demanding, to speak of...........- for your submission which in many ways is mercy then you are in for a rough ride regardless of your beauty which looks to be your defining signature.................you Sashel
 
Last edited by a moderator:
mfuko wako ukituna utalambwa hadi unyayo kuonyeshwa utii🙂 ni hayo tuu

Kayla huo siyo utii bali ni nidhamu ya woga wa kuhofia kunyimwa kipande cha mkate .......kama minoti ikiisha yaamanisha na utii unalala solemba siyo?
 
Last edited by a moderator:
utii, unamaanisha nini omwana wa mawe

marrykate..........utii ni unyenyekevu kwa mumeo naye atakupenda tu hana jinsi..................
 
Last edited by a moderator:
Huwa nasikia siku ya kwanza kabisa mwanaume anapomtongoza binti(mwanamke), humwambia nakupenda. Sasa hapo kwenye utii na upendo kipi hutangulia?

Na je, mwanaume aweza kuridhika kutiiwa tu bila kupewa uchi?

Kwa mfano tumekutana bombu na rutashubyanyuma, ukaniomba namba ya simu nikakupa(utiii), ukaniomba tupate lunch pamoja nikakubali(utii), ukaniomba unisindikize nyumbani (utii), tulipofika nyumbani ukaniomba unikumbatie, nikasema NO! wewe ukasononeka, je hapo lengo lako ni UTII, au KUTIA(aka UCHI) ?
 
Last edited by a moderator:
dah hili nalo neno ndugu yangu, nashukuru maana kwa kweli nipo kwenye research ya kujua hivi wakaka wanataka nini maana unaweza mpa na akatoka nje ukimuuliza jamani kwani mimi nina kasoro gani kwa nini ufanye hivyo anasema huna sasa ndio nini?
 
dah hili nalo neno ndugu yangu, nashukuru maana kwa kweli nipo kwenye research ya kujua hivi wakaka wanataka nini maana unaweza mpa na akatoka nje ukimuuliza jamani kwani mimi nina kasoro gani kwa nini ufanye hivyo anasema huna sasa ndio nini?

Mamzalendo hii ni sahule ya someni kwa furaha tupu.............LOL
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom