Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,468
- 911,184
- Thread starter
-
- #181
Hebu tuanzie hapa.
Hili lilikuwa jibu kwa mwenzio:
Unataka wenye akili timamu? Haya niambie wale ambao sio tu wanaakili timamu, ambao wametumia zaidi ya miaka 20 shuleni na sisi tunawaita wasomi tena wacha mungu wanapo zaa na wake za watu au masita wa kanisani, hawa nao shida yao nini?
(nazungumzia "mapadri").
Na hili lilikuwa jibu lako kwangu:
Tiger mbona waulizia majibu tu?......kiu yao ni utii tu hawana shida nyingine kuhuzu viapo vyao vile vilikuwa kujihakikishia kipande cha mkate na "vijisenti" tu havina uhusiano na Muumba...............
Inamaana uwezo wako wa kujieleza uliishia hapo.
Nikaja kwako:
Chukua hii kisha tafakari "A man who can not control him self 'SEXUALLY', can not be depended on any decision he may make"
Angalia sana hilo neno kwenye capitals ni pana zaidi ya lilivyozoeleka
Wewe ukajibu:
Tiger........hapo umepata jackpot.....................bi la ya zengwe.
Nikakuomba:
Una maana gani? Hebu fafanua.
Kabla hujanijibu akaja jamaa yako:
Umequote nusu nusu nimesema kiakili na kiafya,
Kukaa mda mrefu masomoni kwaweza onyesha una akili lakini kiafya je? huyu mtu anaweza kuwa na tatizo kisiklojia linmpelekea kufanya hivyo. Maana sio wote katika kundi ulilotaja wanafanya hivyo! na wengine wanafanya lakini kwa kupata utii wa wenzao sio kwa kubaka tu.
-Mifano unayo wanazaa na wana watoto wengi tu mitaani tofauti na kesi za kubakwa zilizolipotiwa, hivyo huwa kuna utii kati yao na wanaozaa nao!.
Ukampongeza:
Kyaiyembe............naona umeshindilia suala la utii mahali yake kabisa.......hata Tiger huenda akaingia mitini ....
Na huu ufafanuzi wako:
Tiger naona Kyaiyembe kesha kutoa ufafanuzi wa ziada khapo.................
Sasa kwa hoja hizo unadhani kuna haja ya kupotezeana muda?
Hapana, ninyi endeleeni.
[MENTION]Mmh naona hizi topic ziko out of my comfort zone. Kila la heri though!
pI totally agree with u that 'a woman must always bring some initiative to work' but this has got to do with how both of u presented urselves to each other from day one. Ni kweli mwanamke anaplay big role kwa hii ili iwe vile iwe......HAPPY MAN
wanawake nao yaani akiitwa na mwanaume anajua unataka kumtongoza tuu kumbe wewe huna hata wazo. Asante kaka kwa kuwapasha.
Mabinti wengi hutafakari kiu ya kidume ni nini haswa?
Wakitaka kufumbua kitendawili cha kiu bila ya majibu!
Wengi hugharimia mengi lakini majibu huwa haba .
Wengi hufikiria kiu ya kidume ni kuuchimbua utupu wao!
Kiu ya kidume kwa binti ni fumbo nami kulifumbua.
Kiu ya binti siyo kificho kwani hadharani huimwaga!
Akikutupia jicho la mahaba huhitaji kujiuliza ataka nini!
Akikuongelesha wajua sauti yake mwororo ina jambo!
Hata kama umejificha atakutoa pangoni na pendo lake!
Kiu ya kidume kwa binti ni fumbo nami kulifumbua.
Mwanaumme kueleweka siyo rahisi hata chembe.
Kwani rekodi yake huwa ni kizungumkuti kabisa.
Rekodi yake humsuta kama mpita njia asiye masikani.
Mabinti kuchukua tahadhari majanga yasije kuwadhuru.
Kiu ya kidume kwa binti ni fumbo nami kulifumbua.
Kijuujuu utafikiri kiu ya kidume ni uchi!
Lakini ukizama hiyo ni dalili ya kiu yake!
Kiu ya kidume ni utii wa binti na siyo uchi!
Binti hudhani uchi ndiyo wenyewe kumbe la!
Kiu ya kidume kwa binti ni fumbo nami kulifumbua.
No, umesema hapo juu kuwa cheating ni sign ya problem na possibility kubwa ni insecurity ambayo mimi nimeisababisha kwa kumnag au kumcompare na watu wengine nk.........
So the root cause is me (mwanamke)
My question is what r u guys made of? N what women r made of?
Chukulia situation nyingine, pale ambapo mimi nafeel insecure, will it be caused by my man or my own weakness? Should l also cheat, ili nami nifeel kuwa l am still attractive to other people?
Baada ya kupata UCHI then UTII ndio mwanaume huangalia.. & is in series.... baada ya kula UCHI then ukala ukalaaa ukalaaaa na kulalaaaaa laaaaa..... sasa mwanaume anaanza kuwa serious kwamba this is nice girl.... So what next.... Ananiheshimu, UTII watch out... awe mwaminifu pia, i mean wife 2 be oriented woman....then ndoa inakuja yenyewe tu, easy bby.... A is A, B is B, ur language physically, heartly, emotionally, mentally is ONE, hapo ndio NDOA hiyoooo.... Then mnafunga HARUSI MKASHEREHEREE KULANAAAA IN -- OUT
ooh please Ruta...most men are insecure not because of their spouse but their own ghosts haunting them! and since they do not want to share their problems for fearing to hurt their image what can women do??.... no amount of UTII can remove insecurity not even a woman worships you!!
dah hili nalo neno ndugu yangu, nashukuru maana kwa kweli nipo kwenye research ya kujua hivi wakaka wanataka nini maana unaweza mpa na akatoka nje ukimuuliza jamani kwani mimi nina kasoro gani kwa nini ufanye hivyo anasema huna sasa ndio nini?