Kiu ya mwanaumme kwa binti ni…

Ndahani uko sahihi kabisa.......sifa za watu baki haziwezi kumfanya mwanaumme avimbe kichwa na avumilie kijike ambaye anamdharau.........

Ruta,
Waswahili wanasema ukitaka kula nguruwe chagua aliyenona...tumechanganya na kuchaguana kwenye maisha ya ndoa maana mashallah, watu wanaweza kuwa wamenona lakini wanaishi bila furaha kabisa. Sasa inasaidia nini? Tungejua maisha yanataka nini pengine tungesahau hiyo habari ya nachukua jamaa mpaka mtaa mzima watanikoma. Badala ya mtaa kukoma unakoma mwenyewe.
 
Hao wana matatizo tu wala hatuwezi kuwahesa kama watu wenye akili timamu na wala shida zao sio uchi maana wangeupata kwa wadada waliokua. Hapa tunaongelea waliokamilifu kiafya na kiakili.
Kama unaujua vizuri matumizi yake, kwa hakika sidhani kama mwenye akili timamu aweza kuutamani wa mtoto!.
 
nimeipenda Avatar

Manyanza hata na mie nimemwuuliza akadai eti huyo sasa ni yeye mwenyewe......................Smile yawaje utufiche uso halafu utuonyeshe miguu tukubali kuwa sasa ndiyo wewe mwenyewe................tuonyeshe uso kwanza..........
 
Last edited by a moderator:

BIG POINT Kyaiyembe, tatizo kwa Tiger anatafuta majibu mepesii kwa maswali magumu...........
 
Last edited by a moderator:
Kwa hivyo Mkuu Ruta ikiwa binti hakutii na wewe humtii?

MAMMAMIA.........kama hakutii huwezi kumtia kwa sababu atakuwa na kiburi hata wewe hutamhitaji na ukimlazimisha sasa huwa ndiyo ubakaji ambao hatuuhitaji ..............
 
Last edited by a moderator:
uso wangu huujui wewe?

Smile maswali gani hayo?............hapo uso umeuficha kwenye suruali nitaujuaje? labda uni-Pm niuangalie kwa karibu zaidi......LOL
 
Last edited by a moderator:
wanaume hamridhiki bwana tumekuwa watii uchi tumetoa lakini wapi....

Smile usichojua ni kuwa unatakiwa unitii mie tu lakini wewe unafikiri uwatii wengi....na kutiana nao...hapo ndipo unapokorofisha majambozi..........
 
Last edited by a moderator:
wanaume hamridhiki bwana tumekuwa watii uchi tumetoa lakini wapi....

Smile leo nimekukamata........................waswahili husema njia ya mwizi ni fupi......................kule nyuma uliniapia ya kuwa hujawahi kuguswa kumbe uchi unatoa sasa ile bik'ra iko wapi tena kama uchi umekwishamegwa kiasi hicho na ukamegeka?
 
Last edited by a moderator:
PetCash.....wenzetu hudhani bakora tukiwacharaza ndiyo kiu yetu kumbe kiu yetu ni kuona wanatutii na bakora inakuwa ni kithibitisho cha dalili ya utii wao kwetu wao hawatuelewi kabisa................

hahahahhaaa,,,pfuuuuuuu!!!!!!nimepaliwa na maji ya meck sadiq
 
Last edited by a moderator:
smile leo nimekukamata........................waswahili husema njia ya mwizi ni fupi......................kule nyuma uliniapia ya kuwa hujawahi kuguswa kumbe uchi unatoa sasa ile bik'ra iko wapi tena kama uchi umekwishamegwa kiasi hicho na ukamegeka?
kuna mtu kapost sio mimi mkuu
 
Kwa hivyo Mkuu Ruta ikiwa binti hakutii na wewe humtii?
MAMMAMIA....... Utii uko Hivi,
Dada Habari yako?
-Nzuri!
Samahani naomba tuongee kidogo,
-Nina haraka naomba maongezi yako yawe mafupi kaka.

Kwa maongezi hayo kidogo kunaonekana utii tayari, siku zote Kidume kinaanza binti anatii au kutotii.
 
what i know ikiwa HUMTII,hatokutiiii,,,,,na hapa kutakua hakuna KUTIANA(HALI YA KUTENDEANA)

Bajabiri....naona umetindua kila kitu............kama hajakutii kumtia hakuwezakaniki labda kwa kumbaka na hiyo sasa ni somo au uzi mwingine....................reserved for another day of hot discussion..........
 
Last edited by a moderator:
MAMMAMIA....... Utii uko Hivi,
Dada Habari yako?
-Nzuri!
Samahani naomba tuongee kidogo,
-Nina haraka naomba maongezi yako yawe mafupi kaka.

Kwa maongezi hayo kidogo kunaonekana utii tayari, siku zote Kidume kinaanza binti anatii au kutotii.

Kyaiyembe endelea kumwelimisha Bajabiri........kuwa siyo kukimbilia kumtia kabla hata hajakutii..................LOL
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…