Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,468
- 911,184
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
lolyz.................mwanaumme anataka akubalike hata kama ni changu doa anamfukuzia..............na kukubalika ndiyo utii wenyewe kwamba anachotaka anatimiziwa......................kwa hiyo bakora zikicharazwa basi yeye huondoka kafurahia kuwa kumbe fulani anamkubali na ndiyo maana ametii kiu yake ya kuheshimika na kukubalika...........
Tiger.........unanionea mie sijasema hivyo. Anayebaka pia ana kiu ya kukubalika ila yabidi tuhoji kama njia za mabavu anazozitumia ni sahihi. Ukifuatilia sana utaona ya kuwa hawa wabakaji jamii huwa imewatema na hawana njia ya amani ya kutafuta kukubalika..................kiu ya kukubalika ni kali sana yaweza hata kusababisha mauti ya watu wengi.............we all crave to be desired and feel important and nothing satisfies us beyond than when we feel respected and submission is the pinnacle of that.
wengine bado hatutaki huo utii-
bado tupo na principle yetu ya ku-keep the main thing the main thing
Naomba nikuache wewe kisha niwajibu kwa pamoja hapo chini.
Kongosho.........Wanamme wako tofauti sana na wanawake
Mwanamme anatizama mwili, physical things, tayari anamvua na nguo hapo hapo wakati wanasalimiana
Tayari anawaza kugema asali. Ndo maana utaona sifa anazotoa mwanamme ni napenda macho yako, lips, shape n.k
Mwanamke anamtizama mwanamme kwa undani (inside things-sijui ni sahihi nikisema tabia/vijisifa)
Ndio maana comment za wanawake utakuwa 'wewe ni gentleman' n.k
Ni mara chache mnakutana mara ya kwanza mwanamke anakuambia uko handsome.
Mwanamme anataka VVVVVV
Hao wana matatizo tu wala hatuwezi kuwahesa kama watu wenye akili timamu na wala shida zao sio uchi maana wangeupata kwa wadada waliokua. Hapa tunaongelea waliokamilifu kiafya na kiakili.
Kama unaujua vizuri matumizi yake, kwa hakika sidhani kama mwenye akili timamu aweza kuutamani wa mtoto!.
RUTA: Huu ujumbe wa Kiu ya kidume ni utii wa binti na siyo uchi! :whoo: nimemtumia kademu kangu kamoja maana yeye kamezoea kunichuna kwakua kinanipaga NDUDE yake na mimi nimeshamtumia huu ujumbe nakisubiri nione atanijibu nini halafu nitakuambia!
Unataka wenye akili timamu? Haya niambie wale ambao sio tu wanaakili timamu, ambao wametumia zaidi ya miaka 20 shuleni na sisi tunawaita wasomi tena wacha mungu wanapo zaa na wake za watu au masita wa kanisani, hawa nao shida yao nini?
(nazungumzia "mapadri").
Chukua hii kisha tafakari "A man who can not control 'SEXUALLY', can not be depended on any decision he may make"
Angalia sana hilo neno kwenye capitals ni pana zaidi ya lilivyozoeleka.
Umequote nusu nusu nimesema kiakili na kiafya,Unataka wenye akili timamu? Haya niambie wale ambao sio tu wanaakili timamu, ambao wametumia zaidi ya miaka 20 shuleni na sisi tunawaita wasomi tena wacha mungu wanapo zaa na wake za watu au masita wa kanisani, hawa nao shida yao nini?
(nazungumzia "mapadri").
Anhaa mi siafiki ruta..
Kiu ya mwanaume ni utii na uchi..ukimnyima uchi then ukamtii kwenye mambo mengine do you think kitaeleweka??
Umequote nusu nusu nimesema kiakili na kiafya,
Kukaa mda mrefu masomoni kwaweza onyesha una akili lakini kiafya je? huyu mtu anaweza kuwa na tatizo kisiklojia linmpelekea kufanya hivyo. Maana sio wote katika kundi ulilotaja wanafanya hivyo! na wengine wanafanya lakini kwa kupata utii wa wenzao sio kwa kubaka tu.
-Mifano unayo wanazaa na wana watoto wengi tu mitaani tofauti na kesi za kubakwa zilizolipotiwa, hivyo huwa kuna utii kati yao na wanaozaa nao!.
Tiger........hapo umepata jackpot.....................bila ya zengwe.
Cha kwanza katika kutii ni kile ambacho mwenzio hawezi kupata kwingine isipokuwa kwa mwenzie nacho ni uchi.Anhaa mi siafiki ruta..
Kiu ya mwanaume ni utii na uchi..ukimnyima uchi then ukamtii kwenye mambo mengine do you think kitaeleweka??