Kiu ya mwanaumme kwa binti ni…

Kiu ya mwanaumme kwa binti ni…

kuna mtu kapost sio mimi mkuu

Smile kwa hiyo mashine yako haina mapingamizi....................utii upo na unanihakikishia kabla hata sijatupa ndoana yangu?
 
Last edited by a moderator:
lolyz.................mwanaumme anataka akubalike hata kama ni changu doa anamfukuzia..............na kukubalika ndiyo utii wenyewe kwamba anachotaka anatimiziwa......................kwa hiyo bakora zikicharazwa basi yeye huondoka kafurahia kuwa kumbe fulani anamkubali na ndiyo maana ametii kiu yake ya kuheshimika na kukubalika...........

duuuh haya bana!
 
hahahahhaaa,,,pfuuuuuuu!!!!!!n imepaliwa na maji ya meck sadiq

Pole Bajabiri............naona bakora zinakufurahisha mno.......ila twende polepole hapo...........
 
Last edited by a moderator:
Tiger.........unanionea mie sijasema hivyo. Anayebaka pia ana kiu ya kukubalika ila yabidi tuhoji kama njia za mabavu anazozitumia ni sahihi. Ukifuatilia sana utaona ya kuwa hawa wabakaji jamii huwa imewatema na hawana njia ya amani ya kutafuta kukubalika..................kiu ya kukubalika ni kali sana yaweza hata kusababisha mauti ya watu wengi.............we all crave to be desired and feel important and nothing satisfies us beyond than when we feel respected and submission is the pinnacle of that.

Naomba nikuache wewe kisha niwajibu kwa pamoja hapo chini.
 
Last edited by a moderator:
wengine bado hatutaki huo utii-
bado tupo na principle yetu ya ku-keep the main thing the main thing

Edward Teller........what is the main thing beyond kupewa utii?
 
Last edited by a moderator:
Wanamme wako tofauti sana na wanawake

Mwanamme anatizama mwili, physical things, tayari anamvua na nguo hapo hapo wakati wanasalimiana
Tayari anawaza kugema asali. Ndo maana utaona sifa anazotoa mwanamme ni napenda macho yako, lips, shape n.k

Mwanamke anamtizama mwanamme kwa undani (inside things-sijui ni sahihi nikisema tabia/vijisifa)
Ndio maana comment za wanawake utakuwa 'wewe ni gentleman' n.k
Ni mara chache mnakutana mara ya kwanza mwanamke anakuambia uko handsome.

Mwanamme anataka VVVVVV
Kongosho.........
Maybe gentleman is another term for you are very handsome.....................kama alivyosema mwandishi wa vitabu vya ngono kule Kenya aliposema mwanaumme akimwambia binti kuwa anampenda sanaa basi ajue anataka kumtia sana.........The Flesh...........book by...utamalizia mwenyewe...mahillu?
 
Ili kutiiana vizuri yafaa awepo wa kumtii mwenzie kwanza! na hapo yabidi tujue nani anatakiwa kutii ili kutiana kuwepo.
Maana hata jinsi ya kutiana ianategemea aliyetii amejiweka vipi.
 
Hao wana matatizo tu wala hatuwezi kuwahesa kama watu wenye akili timamu na wala shida zao sio uchi maana wangeupata kwa wadada waliokua. Hapa tunaongelea waliokamilifu kiafya na kiakili.
Kama unaujua vizuri matumizi yake, kwa hakika sidhani kama mwenye akili timamu aweza kuutamani wa mtoto!.

Unataka wenye akili timamu? Haya niambie wale ambao sio tu wanaakili timamu, ambao wametumia zaidi ya miaka 20 shuleni na sisi tunawaita wasomi tena wacha mungu wanapo zaa na wake za watu au masita wa kanisani, hawa nao shida yao nini?
(nazungumzia "mapadri").
 
RUTA: Huu ujumbe wa Kiu ya kidume ni utii wa binti na siyo uchi! :whoo: nimemtumia kademu kangu kamoja maana yeye kamezoea kunichuna kwakua kinanipaga NDUDE yake na mimi nimeshamtumia huu ujumbe nakisubiri nione atanijibu nini halafu nitakuambia!

Ndallo jibu unalo.....atakuambia ya kuwa mbona amekuwa akikutii kila wakati na ndiyo maana unapoomba tunda lake hata siku moja hajawahi kukunyima.........................LOL
 
Anhaa mi siafiki ruta..
Kiu ya mwanaume ni utii na uchi..ukimnyima uchi then ukamtii kwenye mambo mengine do you think kitaeleweka??
 
Last edited by a moderator:
BIG POINT Kyaiyembe, tatizo kwa Tiger anatafuta majibu mepesii kwa maswali magumu...........

Chukua hii kisha tafakari "A man who can not control him self 'SEXUALLY', can not be depended on any decision he may make"
Angalia sana hilo neno kwenye capitals ni pana zaidi ya lilivyozoeleka.
 
Last edited by a moderator:
Unataka wenye akili timamu? Haya niambie wale ambao sio tu wanaakili timamu, ambao wametumia zaidi ya miaka 20 shuleni na sisi tunawaita wasomi tena wacha mungu wanapo zaa na wake za watu au masita wa kanisani, hawa nao shida yao nini?
(nazungumzia "mapadri").

Tiger mbona waulizia majibu tu?......kiu yao ni utii tu hawana shida nyingine kuhuzu viapo vyao vile vilikuwa kujihakikishia kipande cha mkate na "vijisenti" tu havina uhusiano na Muumba...............
 
Last edited by a moderator:
Chukua hii kisha tafakari "A man who can not control 'SEXUALLY', can not be depended on any decision he may make"
Angalia sana hilo neno kwenye capitals ni pana zaidi ya lilivyozoeleka.

Tiger........hapo umepata jackpot.....................bila ya zengwe.
 
Last edited by a moderator:
Unataka wenye akili timamu? Haya niambie wale ambao sio tu wanaakili timamu, ambao wametumia zaidi ya miaka 20 shuleni na sisi tunawaita wasomi tena wacha mungu wanapo zaa na wake za watu au masita wa kanisani, hawa nao shida yao nini?
(nazungumzia "mapadri").
Umequote nusu nusu nimesema kiakili na kiafya,
Kukaa mda mrefu masomoni kwaweza onyesha una akili lakini kiafya je? huyu mtu anaweza kuwa na tatizo kisiklojia linmpelekea kufanya hivyo. Maana sio wote katika kundi ulilotaja wanafanya hivyo! na wengine wanafanya lakini kwa kupata utii wa wenzao sio kwa kubaka tu.
-Mifano unayo wanazaa na wana watoto wengi tu mitaani tofauti na kesi za kubakwa zilizolipotiwa, hivyo huwa kuna utii kati yao na wanaozaa nao!.
 
Anhaa mi siafiki ruta..
Kiu ya mwanaume ni utii na uchi..ukimnyima uchi then ukamtii kwenye mambo mengine do you think kitaeleweka??

Purple ....usigeuze wajibu na haki...................kama hajakutii hivi huo uchi atakupatiaje?.........akikunyima uchi huyo anakudharau hana utii kabisa lazima aone cha moto............
 
Last edited by a moderator:
Umequote nusu nusu nimesema kiakili na kiafya,
Kukaa mda mrefu masomoni kwaweza onyesha una akili lakini kiafya je? huyu mtu anaweza kuwa na tatizo kisiklojia linmpelekea kufanya hivyo. Maana sio wote katika kundi ulilotaja wanafanya hivyo! na wengine wanafanya lakini kwa kupata utii wa wenzao sio kwa kubaka tu.
-Mifano unayo wanazaa na wana watoto wengi tu mitaani tofauti na kesi za kubakwa zilizolipotiwa, hivyo huwa kuna utii kati yao na wanaozaa nao!.

Kyaiyembe............naona umeshindilia suala la utii mahali yake kabisa.......hata Tiger huenda akaingia mitini ....
 
Last edited by a moderator:
Anhaa mi siafiki ruta..
Kiu ya mwanaume ni utii na uchi..ukimnyima uchi then ukamtii kwenye mambo mengine do you think kitaeleweka??
Cha kwanza katika kutii ni kile ambacho mwenzio hawezi kupata kwingine isipokuwa kwa mwenzie nacho ni uchi.
Kama ni msosi anaweza kupika nguo anaweza kufua kwa ujumla kila kitu Kidume anaweza kufanya bila utii wa Mdada isipokuwa uchi lazima akutii ndipo uupate, Waweza kuupata bila utii lakini yanini sasa ndio ugomvi na kuachana.
Na kama utii upo akikueleza sababu za kiutii mnaelewana tu sio lazima mdu.
 
Back
Top Bottom