hs billionaire
Member
- Apr 27, 2022
- 33
- 35
Wazoefu jibuni tafadhali!Habari wadau wa jf[emoji112].
Naombeni msaada nahitaji nielekezwe dawa nzuri kwa ajili ya palizi shambani ambayo inaua nyasi almost aina zote.
N.b mahindi yana siku 20 pia shambani kuna mahindi pekee
[emoji120][emoji120]View attachment 2849855
Hata hawafiki aseeWazoefu jibuni tafadhali!
Usivunjike moyo! Wapo njiani.Hata hawafiki asee
Shukrani zikueendeeYaan unataka kiua magugu tu au na kuzuia nyasi zisiote kama kiuamagugu tu paraquit ni dawa bora sana bei yake ni elfu12 kama ni kuzuia nyasi zisiote na kuua zisiote uliza duka la madawa jina lake nimelisahau kidogo ila ni kampun hiyohiyo bei ni elfu28 afu bro mambo ya kuuliza madawa wakati maduka yapo au unaweza google ni kujaza serve zetu usirudie tena
😀Yaan unataka kiua magugu tu au na kuzuia nyasi zisiote kama kiuamagugu tu paraquit ni dawa bora sana bei yake ni elfu12 kama ni kuzuia nyasi zisiote na kuua zisiote uliza duka la madawa jina lake nimelisahau kidogo ila ni kampun hiyohiyo bei ni elfu28 afu bro mambo ya kuuliza madawa wakati maduka yapo au unaweza google ni kujaza serve zetu usirudie tena
Kuna ubaya gani endapo atatumia kiua magugu kwa sasa?Vip hayo mahindi umeweka mbolea?
Hayo mahindi bado madogo kutumia kiua magugu subiri yawe na pingili kwa sasa palilia kwa jembe
acha ubishi..tumia jembe kisha yawekee udongoKuna ubaya gani endapo atatumia kiua magugu kwa sasa?
Akitumia kiua magugu selective haina shida ila non selective ni rahisi kuchoma mimea ya mahindiKuna ubaya gani endapo atatumia kiua magugu kwa sasa?
Unataka kumpigisha shoti.Yaan unataka kiua magugu tu au na kuzuia nyasi zisiote kama kiuamagugu tu paraquit ni dawa bora sana bei yake ni elfu12 kama ni kuzuia nyasi zisiote na kuua zisiote uliza duka la madawa jina lake nimelisahau kidogo ila ni kampun hiyohiyo bei ni elfu28 afu bro mambo ya kuuliza madawa wakati maduka yapo au unaweza google ni kujaza serve zetu usirudie tena
Katafute snowburner inazuia magugu kuota, pia ni selective. Yaani haiunguzi mahindi. Pia ina kama mbolea ndani yake. Bei kwa huku ni 24k kwa chupa ya 1LHabari wadau wa jf[emoji112].
Naombeni msaada nahitaji nielekezwe dawa nzuri kwa ajili ya palizi shambani ambayo inaua nyasi almost aina zote.
N.b mahindi yana siku 20 pia shambani kuna mahindi pekee
[emoji120][emoji120]View attachment 2849855
Mkuu, ina maana wewe huamini ile dhana ya "kuuliza si ujinga?" Nimekosea kutamani kufahamu?acha ubishi..tumia jembe kisha yawekee udongo
Nashukuru sana mtaalam🙏Akitumia kiua magugu selective haina shida ila non selective ni rahisi kuchoma mimea ya mahindi
Ya sasaVip hayo mahindi umeweka mbolea?
Hayo mahindi bado madogo kutumia kiua magugu subiri yawe na pingili kwa sasa palilia kwa jembe
Umeweka mbolea gani? Na uliweka mahindi yakiwa na wiki ngapi toka kupandwa