hs billionaire
Member
- Apr 27, 2022
- 33
- 35
Habari wadau wa jf[emoji112].
Naombeni msaada nahitaji nielekezwe dawa nzuri kwa ajili ya palizi shambani ambayo inaua nyasi almost aina zote.
N.b mahindi yana siku 20 pia shambani kuna mahindi pekee
[emoji120][emoji120]