Sasa watu wako B+ wakitokea wajinga kama milion 20 wanapenda kamari bado wanabaki na nguvu kazi ya kutosha inayojielewa sasa hapa bongo ndo tupo less than 100m in population alafu unakuta asilimia 75 ya vijana wanapenda kamari panabaki nn sasa kwenye hii nchi ambayo unaambiwa population yetu asilimia kubwa ni vijanaWachina wanapenda kamari na pia wanapenda kufanya Kazi kwa kujituma shida ni kwetu wabongo
Aliyekuambia population kubwa ni vijana amekudanganya. Population ya tanzania asilimia kubwa ni watoto 44% na ndio sababu ya umaskini . Hapo hujatoa vijana umri 18-27 ambao wengi wao wako shule au bado hawana chochote cha maana wanacho zalisha. Bado hujatoa hapo wale wanawake wanaoamini kuzaa kwa uchungu ndio kazi yao na sio shughuli za kiuchumi. Hujatoa hapo wazee. Kwa ufupi nature ya population ya tanzania ni Tegemezi na sio productive. Population ya china watoto ni wachache sana na wazalishaji ni wengi. NB hakuna nchi iliyowahi kuwa maskini kwa sababu ya betting.Sasa watu wako B+ wakitokea wajinga kama milion 20 wanapenda kamari bado wanabaki na nguvu kazi ya kutosha inayojielewa sasa hapa bongo ndo tupo less than 100m in population alafu unakuta asilimia 75 ya vijana wanapenda kamari panabaki nn sasa kwenye hii nchi ambayo unaambiwa population yetu asilimia kubwa ni vijana
Naandika hapa huku jana mkeka wangu umechanwa na team moja😂😂
Kiuhalisia tz tegemezi ni wengi sana,kuna watu mpaka wana familia lakin bado ni tegemeziAliyekuambia population kubwa ni vijana amekudanganya. Population ya tanzania asilimia kubwa ni watoto 44% na ndio sababu ya umaskini . Hapo hujatoa vijana umri 18-27 ambao wengi wao wako shule au bado hawana chochote cha maana wanacho zalisha. Bado hujatoa hapo wale wanawake wanaoamini kuzaa kwa uchungu ndio kazi yao na sio shughuli za kiuchumi. Hujatoa hapo wazee. Kwa ufupi nature ya population ya tanzania ni Tegemezi na sio productive. Population ya china watoto ni wachache sana na wazalishaji ni wengi. NB hakuna nchi iliyowahi kuwa maskini kwa sababu ya betting.
Asante mkuuAliyekuambia population kubwa ni vijana amekudanganya. Population ya tanzania asilimia kubwa ni watoto 44% na ndio sababu ya umaskini . Hapo hujatoa vijana umri 18-27 ambao wengi wao wako shule au bado hawana chochote cha maana wanacho zalisha. Bado hujatoa hapo wale wanawake wanaoamini kuzaa kwa uchungu ndio kazi yao na sio shughuli za kiuchumi. Hujatoa hapo wazee. Kwa ufupi nature ya population ya tanzania ni Tegemezi na sio productive. Population ya china watoto ni wachache sana na wazalishaji ni wengi. NB hakuna nchi iliyowahi kuwa maskini kwa sababu ya betting.
(5)Huongeza idadi ya kampuni za uwekezaji wa kamari nchini hivyo kuongeza walipa kodi(1) Hupunguza hamasa ya uzalishaji kwa kuwafanya watu waamini kuwa wanaweza kupata pesa kwa kucheza kamari tu.
(2) Husaidia sana kuongezeka kwa idadi ya masikini na idadi ya matajir na hivyo kupanua pengo baina ya masikini na matajiri.
(3) Hutengeza maskini wengi sana kwenye jamii na kupunguza uwezo wa kufanya uvumbuzi (innovation) ndani ya jamii.
(4) Huongeza kasi ya mzunguko wa pesa kwenye jamii kutoka kwa maskini kwenda kwa matajiri
NB hakuna nchi iliyowahi kuwa maskini kwa sababu ya betting.
Labda analenga uchumi wa mtu binafsi.Nchi zote zilizoendelea zinaongoza kwa kamari Sasa Tanzania wacheza kamari hawana hata mitaji wanastake mia tano ndiyo waue uchumi?
Inafikirisha....Kama beting ni umasikini basi mataifa mengi ulaya na Amerika yangekuwa masikini maana huko ndiyo makao makuu ya kamari, mkuu Tanzania chanzo Cha umasikini ni ujinga.
hahaha! Unakuta mtu anastake 100 ashinde milioni10 tena kaweka timu ishinde nyingine isipate goli utadhani mabeki kaweka yeyeNchi zote zilizoendelea zinaongoza kwa kamari Sasa Tanzania wacheza kamari hawana hata mitaji wanastake mia tano ndiyo waue uchumi?
swadakta, gamble responsibly kubeti sio kazi, kubet ni burudani tuBetting nikwaajili ya kujifurahisha sio kwaajili ya kutafuta utajiri
Mtu ana familia na bado anatemegemea wazazi wake 😂 hiyo nchi itaendeleaje ,, afu utakuta mtu anasema serikali isikope wakati kiuhalisia wazalishaji tanzania hawafiki 20M huku wakitegemewa kulisha 65MKiuhalisia tz tegemezi ni wengi sana,kuna watu mpaka wana familia lakin bado ni tegemezi
you are a liar!Betting nikwaajili ya kujifurahisha sio kwaajili ya kutafuta utajiri
Kazi zipi mkuubetting na yale mapombe ya yule bilionea wenu wa manayara sijui babati ni janga la kitaifa , kwa hali hii ndiomaana vijana wengi hawana tena mzuka wa kazi wanahangaika na makamari tuuuuu na kinmgine hawana hata nguvu za kiume yaani kuna kizazi kina shida sana sasahivi Mungu awasaidie tu.