Janja weed
JF-Expert Member
- Nov 20, 2020
- 3,000
- 5,606
hizohizo hata za kulima vibarua kwa watu ,wewe hujui kuna wasukuma wako zanzibar wanalima tu vibarua na kufuga kwakuwa wazanzibari ni mdebwedo hawapendi kazi na wana maisha mazuri tu? kuna vijamaa vinataka viamke saa5 asubuhi vikute chai vika bett virudi vikute cha mchana na jioni hivyo hivyo lakini hata kushika ufagio hawawezi unaamini huyo anaweza kuleta mabadiliko yoyote?Kazi zipi mkuu