The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 4,118
- 9,864
Huu utaratibu wa kupangisha frame or nyumba halafu unalipa six/year in advance mi naona kiuchumi haiko Sawa hata kidogo.
Kwa mfano napangisha Leo afu nikulipe hela Hadi ya mwaka ujao it is crazy ndiyo maana biashara nyingi hufa.
Inampa favour mwenye pango Ila wewe mpangaji unakuwa umekopesha hela yako bila riba.
Utaratibu standard ambao mimi nahisi kiuchumi Una mantiki ni kulipa baada ya mda Fulani and not before.
Sijui duniani kwingine huwa wanafanyaje lakini mi naona haiko sawa.
Wachumi maoni yenu. Wengi mtasema ooh wabongo ni wabushi kulipa. asa Hilo ni suala jingine.
Ila kulipa in advance watu wanatengeneza hela kilaini sana