fimboyaasali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 8,617
- 8,244
shida ya hizi timu,zinapocheza wao kwa wao,haitegemei timu ipi iko bora sanaNasikitika tu kuwa nitapokea Kipigo Kitakatifu kutoka hapa Jijin Kampala nchini Uganda niliko sasa na tayari niko katika Mchakato wa Kumtafuta Mrembo Mmoja wa Kiganda au Kinyankole au Mhima ili Siku hiyo anipunguzie Machungu ya Kipigo Kitakaifu na cha Kishalubela ambacho nina uhakika Simba SC yangu inaenda Kukipokea kutoka kwa Yanga SC.
Nilipowaambieni hapa kuwa Ahmed Ally ni 100% ni mwana Yanga SC mkanbishia na kunipuuza? Sasa taratibu mtanielewa.Ishu ni kutokwenda uwanjani wapuuzi sana.
Namvizia Ahmed Ally apite kitaan kwetu manzese na kispika chake,,hakiyanan namrushia mawe.
Jamaa anatuona sisi kama nguchirooooo.
Hiyo siku ya mechi ntaenda zangu uwanja wa fisi kupunguza mawazo,pale Kuna totoz hadi za buku mbili.
Ukiwa kontawa kama Mimi hyo buku mbili unapiga mzigo halafu baadae saa sita usiku unarudi kujivinjari Hadi asubuhi!
Linapokuja suala la Simba na Yanga hakuna hatua mbaya kama timu kuvurunda. Mo mwenyewe ataachia timu ni suala la muda tuMnamkalishaje pembeni wakat mshamoa his over 45% ya umiliki. Haya ni mambo ya kimikataba na ili hilo liwezekane ni yeye kuamua kuuza hizo hisa kwa hiyari yake au hisa zenu hizo za over 50% mumuzie muwekezaji mwingine awe na nguvu kuliko Mo na nyie mbaki na 0,muwe washabiki rasmi
Jidanganye tu Mkuu na kwa Taarifa yako tu sasa ni kwamba Yanga SC hata Kindumba / Kiuchawi wako Vyedi ile mbaya.shida ya hizi timu,zinapocheza wao kwa wao,haitegemei timu ipi iko bora sana
Acha ujinga baby kwani Kuna mtu kakulazimisha ushabikie mpira maana Kila siku meseji hiyo hiyoKUIBUKA KWA KWA DINI MPYA YA SIMBA NA YANGA.
Tumeisha waambia Hizo timu kuzishobokea sana kupita kiasi tatizo.
Kila muda simba yanga.
Muda wote mnawaza simba na yanga, hilo ni tatizo na ni kaugonjwa fulani hivi.
Simba na Yanga zimekuwa Dini Tanzania kutwa kucha ni kuziabudu tu.
Mnachezewa Danganya Toto na Goverment maana hivyo ni vyombo vyao vya propaganda.
MWENYE MASIKIO NA ASIKIE
Ukiacha Kubinjuliwa backside Kwako utakuwa na Akili kwani 100% ya mnaofanyiwa hivyo na Mabasha hamnaga Akili Ok?
Ugamba chi SseboNasikitika tu kuwa nitapokea Kipigo Kitakatifu kutoka hapa Jijin Kampala nchini Uganda niliko sasa na tayari niko katika Mchakato wa Kumtafuta Mrembo Mmoja wa Kiganda au Kinyankole au Mhima ili Siku hiyo anipunguzie Machungu ya Kipigo Kitakaifu na cha Kishalubela ambacho nina uhakika Simba SC yangu inaenda Kukipokea kutoka kwa Yanga SC.
Ukiacha Kubinjuliwa backside Kwako utakuwa na Akili kwani 100% ya mnaofanyiwa hivyo na Mabasha hamnaga Akili Ok?Nakusikitikia Unatukana hewa ( id ambayo ni hewa)
Kiufupi unapaka Rangi upepo.
Kama unahisi unanitukana mimi huwa sishtuki hata kidogo.
Level yako ni akina TUKANA UONE SIO MIMI.
Bulunji nyoo Ssebo.Ugamba chi Ssebo
Niliwaomba Mods wamuondoe kabisa kwenye hili jukwaa la michezo lakini hawajafanya hivyo,itabidi tuitishe petition huyu kichaa aondolewe humu,maana kama yeye hataki mambo ya mpira akae pembeni sio kutuletea vimaneno vyake vya kijinga.wewe nae umezidi hayo maarifa yako yakuepuka soka kaanayo mwenyewe unafikiri kila mtu hajielewi nini kila siku liujumbe kama hupendi si wewe... ukute unaandika hivi na umeshikilia dini za wazungu ama waarabu nawe ni ng'ombe kama ng'ombe nyengine tu karagabao... nafikiri unahitaji maarifa bado... jibu lako kwenye komenti yangu litaeleza taswira nzima ya ubongo wako sasa komenti kama kenge unakula tusi zuri tu...
Tukusanyukidde ku Nateete ne NnarukongoBulunji nyoo Ssebo.
Umenena jambo kubwa sana nimefanya survey ndogo kila kwenye mkusanyiko wa watu kuanzia watano hakuna la maana zaodi ya simba na yanga....KUIBUKA KWA KWA DINI MPYA YA SIMBA NA YANGA.
Tumeisha waambia Hizo timu kuzishobokea sana kupita kiasi tatizo.
Kila muda simba yanga.
Muda wote mnawaza simba na yanga, hilo ni tatizo na ni kaugonjwa fulani hivi.
Simba na Yanga zimekuwa Dini Tanzania kutwa kucha ni kuziabudu tu.
Mnachezewa Danganya Toto na Goverment maana hivyo ni vyombo vyao vya propaganda.
MWENYE MASIKIO NA ASIKIE
Nakuunga mkono anzisha petitionNiliwaomba Mods wamuondoe kabisa kwenye hili jukwaa la michezo lakini hawajafanya hivyo,itabidi tuitishe petition huyu kichaa aondolewe humu,maana kama yeye hataki mambo ya mpira akae pembeni sio kutuletea vimaneno vyake vya kijinga.
Kiujumla mmekutana.Wewe Pimbi unaonekana ni Mhuni mno na unapenda Kubandua mno Kudadadeki zako. Nimecheka sana kwa Post yako.
We ni fala kuliko mafala wote dunianiKUIBUKA KWA KWA DINI MPYA YA SIMBA NA YANGA.
Tumeisha waambia Hizo timu kuzishobokea sana kupita kiasi tatizo.
Kila muda simba yanga.
Muda wote mnawaza simba na yanga, hilo ni tatizo na ni kaugonjwa fulani hivi.
Simba na Yanga zimekuwa Dini Tanzania kutwa kucha ni kuziabudu tu.
Mnachezewa Danganya Toto na Goverment maana hivyo ni vyombo vyao vya propaganda.
MWENYE MASIKIO NA ASIKIE