Kiufundi siioni kabisa Simba SC ya Kuifunga Yanga SC iliyo bora ndani na nje ya Uwanja katika Derby ijayo

Nasikitika tu kuwa nitapokea Kipigo Kitakatifu kutoka hapa Jijin Kampala nchini Uganda niliko sasa na tayari niko katika Mchakato wa Kumtafuta Mrembo Mmoja wa Kiganda au Kinyankole au Mhima ili Siku hiyo anipunguzie Machungu ya Kipigo Kitakaifu na cha Kishalubela ambacho nina uhakika Simba SC yangu inaenda Kukipokea kutoka kwa Yanga SC.
shida ya hizi timu,zinapocheza wao kwa wao,haitegemei timu ipi iko bora sana
 
Ishu ni kutokwenda uwanjani wapuuzi sana.
Namvizia Ahmed Ally apite kitaan kwetu manzese na kispika chake,,hakiyanan namrushia mawe.
Jamaa anatuona sisi kama nguchirooooo.
Hiyo siku ya mechi ntaenda zangu uwanja wa fisi kupunguza mawazo,pale Kuna totoz hadi za buku mbili.
Ukiwa kontawa kama Mimi hyo buku mbili unapiga mzigo halafu baadae saa sita usiku unarudi kujivinjari Hadi asubuhi!
Nilipowaambieni hapa kuwa Ahmed Ally ni 100% ni mwana Yanga SC mkanbishia na kunipuuza? Sasa taratibu mtanielewa.
 
Mnamkalishaje pembeni wakat mshamoa his over 45% ya umiliki. Haya ni mambo ya kimikataba na ili hilo liwezekane ni yeye kuamua kuuza hizo hisa kwa hiyari yake au hisa zenu hizo za over 50% mumuzie muwekezaji mwingine awe na nguvu kuliko Mo na nyie mbaki na 0,muwe washabiki rasmi
Linapokuja suala la Simba na Yanga hakuna hatua mbaya kama timu kuvurunda. Mo mwenyewe ataachia timu ni suala la muda tu
 
KUIBUKA KWA KWA DINI MPYA YA SIMBA NA YANGA.

Tumeisha waambia Hizo timu kuzishobokea sana kupita kiasi tatizo.

Kila muda simba yanga.
Muda wote mnawaza simba na yanga, hilo ni tatizo na ni kaugonjwa fulani hivi.

Simba na Yanga zimekuwa Dini Tanzania kutwa kucha ni kuziabudu tu.

Mnachezewa Danganya Toto na Goverment maana hivyo ni vyombo vyao vya propaganda.

MWENYE MASIKIO NA ASIKIE
Acha ujinga baby kwani Kuna mtu kakulazimisha ushabikie mpira maana Kila siku meseji hiyo hiyo
 
Ukiacha Kubinjuliwa backside Kwako utakuwa na Akili kwani 100% ya mnaofanyiwa hivyo na Mabasha hamnaga Akili Ok?

Nakusikitikia Unatukana hewa ( id ambayo ni hewa)

Kiufupi unapaka Rangi upepo.

Kama unahisi unanitukana mimi huwa sishtuki hata kidogo.

Level yako ni akina TUKANA UONE SIO MIMI.
 
Nasikitika tu kuwa nitapokea Kipigo Kitakatifu kutoka hapa Jijin Kampala nchini Uganda niliko sasa na tayari niko katika Mchakato wa Kumtafuta Mrembo Mmoja wa Kiganda au Kinyankole au Mhima ili Siku hiyo anipunguzie Machungu ya Kipigo Kitakaifu na cha Kishalubela ambacho nina uhakika Simba SC yangu inaenda Kukipokea kutoka kwa Yanga SC.
Ugamba chi Ssebo
 
Nakusikitikia Unatukana hewa ( id ambayo ni hewa)

Kiufupi unapaka Rangi upepo.

Kama unahisi unanitukana mimi huwa sishtuki hata kidogo.

Level yako ni akina TUKANA UONE SIO MIMI.
Ukiacha Kubinjuliwa backside Kwako utakuwa na Akili kwani 100% ya mnaofanyiwa hivyo na Mabasha hamnaga Akili Ok?
 
wewe nae umezidi hayo maarifa yako yakuepuka soka kaanayo mwenyewe unafikiri kila mtu hajielewi nini kila siku liujumbe kama hupendi si wewe... ukute unaandika hivi na umeshikilia dini za wazungu ama waarabu nawe ni ng'ombe kama ng'ombe nyengine tu karagabao... nafikiri unahitaji maarifa bado... jibu lako kwenye komenti yangu litaeleza taswira nzima ya ubongo wako sasa komenti kama kenge unakula tusi zuri tu...
Niliwaomba Mods wamuondoe kabisa kwenye hili jukwaa la michezo lakini hawajafanya hivyo,itabidi tuitishe petition huyu kichaa aondolewe humu,maana kama yeye hataki mambo ya mpira akae pembeni sio kutuletea vimaneno vyake vya kijinga.
 
KUIBUKA KWA KWA DINI MPYA YA SIMBA NA YANGA.

Tumeisha waambia Hizo timu kuzishobokea sana kupita kiasi tatizo.

Kila muda simba yanga.
Muda wote mnawaza simba na yanga, hilo ni tatizo na ni kaugonjwa fulani hivi.

Simba na Yanga zimekuwa Dini Tanzania kutwa kucha ni kuziabudu tu.

Mnachezewa Danganya Toto na Goverment maana hivyo ni vyombo vyao vya propaganda.

MWENYE MASIKIO NA ASIKIE
Umenena jambo kubwa sana nimefanya survey ndogo kila kwenye mkusanyiko wa watu kuanzia watano hakuna la maana zaodi ya simba na yanga....
Na hili jambo ccm wanapendezwa nalo sana, nchi kmekuwa na mtizamo wa kimaamuma sana.

Focus na usimba na uyanga ingewekwa hata nusu tu kwenye kuwawajibisha viongozi tungekuwa mbali sana kimaendeleo na hata tungekuwa tumeshapata KATIBA MPYA.
 
Niliwaomba Mods wamuondoe kabisa kwenye hili jukwaa la michezo lakini hawajafanya hivyo,itabidi tuitishe petition huyu kichaa aondolewe humu,maana kama yeye hataki mambo ya mpira akae pembeni sio kutuletea vimaneno vyake vya kijinga.
Nakuunga mkono anzisha petition
 
Popoma nitakupiga bao tano kwa mkapa
Vile kwenye 6*6 nitakupiga hizo hizo bao 5

Jiandae ukitoka huko ambako uko kwa kifikirika maana upo kwenu bunju
 
KUIBUKA KWA KWA DINI MPYA YA SIMBA NA YANGA.

Tumeisha waambia Hizo timu kuzishobokea sana kupita kiasi tatizo.

Kila muda simba yanga.
Muda wote mnawaza simba na yanga, hilo ni tatizo na ni kaugonjwa fulani hivi.

Simba na Yanga zimekuwa Dini Tanzania kutwa kucha ni kuziabudu tu.

Mnachezewa Danganya Toto na Goverment maana hivyo ni vyombo vyao vya propaganda.

MWENYE MASIKIO NA ASIKIE
We ni fala kuliko mafala wote duniani
 
Back
Top Bottom