Mtoto wa nzi
JF-Expert Member
- Jun 6, 2012
- 10,017
- 18,537
Yaani nna muda Sana sijasikiliza radio stations.Sijui ni lini nitapata nafasi ya kusikiliza radio...
Kinachojadiliwa hapa natamani nikielewe lakini nachemka...
Ngoja niende zangu kuzimua..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani nna muda Sana sijasikiliza radio stations.Sijui ni lini nitapata nafasi ya kusikiliza radio...
Kinachojadiliwa hapa natamani nikielewe lakini nachemka...
Ngoja niende zangu kuzimua..
Kumbe tuko wengi asee...Yaani nna muda Sana sijasikiliza radio stations.
Duh! Umesikia kwa Nani?Nasikia huko EFM kumaliza miezi Sita haujalipwa mshahara ni kawaida tu.
Watu radio husikilizia ndani ya gari tu kama hajaweka flash 'kuinjoi' muziki.Yaani nna muda Sana sijasikiliza radio stations.
Nahisi tutakuwa wengi tu ...Kumbe tuko wengi asee...
Nasikia huko EFM kumaliza miezi Sita haujalipwa mshahara ni kawaida tu.
Mtaaani tu usichukulie kila kitu serious ndiyo maana nikasema nilisikia.Duh! Umesikia kwa Nani?
Yaani mondy kanunua gari la bilion 2 alafu anashindwa kulipa wafanyakazi wake mishaharaEdo simwoni kama ni bora kiuchambuzi. Abaki kwenye makala.
Ambangile ni trash
Yule mdada kidogo kwa mbaaaaaaaaali Anajitahidi
Ahmed ni mtangazaji sio mchambuzi
Ricardo momo akiacha kazi wasafi fm hapati kazi radio nyingine..
Za chini chini Anaefata kuondoka ni Lil Omy,
Hata beki tatu wa ndani hawezi kukaa miezi 3 bila mshahara, japo kua anakula na kulala.
View attachment 1882451
Hater!Edo simwoni kama ni bora kiuchambuzi. Abaki kwenye makala.
Ambangile ni trash
Yule mdada kidogo kwa mbaaaaaaaaali Anajitahidi
Ahmed ni mtangazaji sio mchambuzi
Ricardo momo akiacha kazi wasafi fm hapati kazi radio nyingine..
Za chini chini Anaefata kuondoka ni Lil Omy,
Hata beki tatu wa ndani hawezi kukaa miezi 3 bila mshahara, japo kua anakula na kulala.
View attachment 1882451
Duuuh "post imejaa ukatuni mwingi"......Edo simwoni kama ni bora kiuchambuzi. Abaki kwenye makala.
Ambangile ni trash
Yule mdada kidogo kwa mbaaaaaaaaali Anajitahidi
Ahmed ni mtangazaji sio mchambuzi
Ricardo momo akiacha kazi wasafi fm hapati kazi radio nyingine..
Za chini chini Anaefata kuondoka ni Lil Omy,
Hata beki tatu wa ndani hawezi kukaa miezi 3 bila mshahara, japo kua anakula na kulala.
View attachment 1882451
🤣🤣Ndugu unaujua mpira?
Yaani mwanaidi ni bora kuliko Amba?
Una hangover utakua
Kama Mohamed wa simbaAmbangile yupo vizuri.. Sema Diamond platinum nasikia ni fake. Watangazaji hawana pesa afu anapenda kusifiwa tu
Ambangile yupo vizuri.. Sema Diamond platinum nasikia ni fake. Watangazaji hawana pesa afu anapenda kusifiwa tu
Kwani mishahara wanalipwa na Taasisi au mfuko wa Diamond?.Yaani mondy kanunua gari la bilion 2 alafu anashindwa kulipa wafanyakazi wake mishahara
Nasikia Diva nae ndo kazi anayoifanya pale, ila sio mda mrefu nae ataondoka akishakamilisha uchunguzi wake🦍🦍Wasafi media hawakujua Kitenge alikuwa anawapeleleza. KITENGE NI MWAJIRIWA WA USALAMA WA TAIFA. Wasafi imeshachunguzwa na tusubiri matokeo. KITENGE ANAENDA KUUNGANA NA OSCAR KUMALIZA KAZI YAO ALIYOIANZA YEYE KITENGE PALE EFM.
Nahisi tutakuwa wengi tu ...