Kiufupi Sports Arena imekufa baada ya Kitenge kuondoka

Yaani mondy kanunua gari la bilion 2 alafu anashindwa kulipa wafanyakazi wake mishahara
 
Momo na mastory yotee kudere watu alishidwa kujua Ka maulid khanga anasepa
 
Hater!
 
Duuuh "post imejaa ukatuni mwingi"......
 
Ambangile yupo vizuri.. Sema Diamond platinum nasikia ni fake. Watangazaji hawana pesa afu anapenda kusifiwa tu

Mabosi wa kibongo ndio walivyo juzi kelele zilikuwa kwa moo
Leo kwa mondi kimyaa tubapenda unafki sana
 
Wasafi media hawakujua Kitenge alikuwa anawapeleleza. KITENGE NI MWAJIRIWA WA USALAMA WA TAIFA. Wasafi imeshachunguzwa na tusubiri matokeo. KITENGE ANAENDA KUUNGANA NA OSCAR KUMALIZA KAZI YAO ALIYOIANZA YEYE KITENGE PALE EFM.
Nasikia Diva nae ndo kazi anayoifanya pale, ila sio mda mrefu nae ataondoka akishakamilisha uchunguzi wake🦍🦍
 
🤣🤣🤣🤣yan kipindi Kife sababu mpiga makelele ameondoka, Maulidi bora ni yule aliyekuwa akisoma habari ITV tu huku redion tumepigwa tu, hana lolote.
 
Nahisi tutakuwa wengi tu ...

Tupo wengi mi mwenyewe nashangaa Sana watu wanaobishania redio , et mchambuzi Fulani anajiita anajua wakat kila kitu anatoa Google 🤣 , mi hata TV tuu siangalii labda mpira live au nachek movie kwenye KIX ,...!! Et nimekaa nimetulia naangalia ITV duuh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…