Kiufupi Sports Arena imekufa baada ya Kitenge kuondoka

Nasikia Diva nae ndo kazi anayoifanya pale, ila sio mda mrefu nae ataondoka akishakamilisha uchunguzi wake[emoji1664][emoji1664]
Diamond ni ccm, kwa hiyo wao TISS manowasema wangekuwa wanawachunguza wasafi kuwa itahatarisha usalama wa taifa?
 
Huwa nakisikiliza kwa sababu ya ambangile, na ile segment ya basketball tu
 
Apo kwa ambangile umekosea jamaa anajitaidi
 
Ambangile ni Trash au Post yako ndio Trash?
Mi sio mnazi wa soka... Ila yule mwamba anajua
Genius
 
Ambagile anazingua mtu anaongea mpaka anakera hawezi kujikadiria hivi hawaoni kina amri kiemba na gef lea wanavyochambua pamoja na waachambuzi wa u live,

Ambagile anaweza akaongea mada tatu kwa wakati mmoja yaani kiufupi haeleweki sasa hivi anamuiga alikamwe na mambo 10 ila yeye uchambuzi wake hauna mpangilio.
 
Yani wasafi media ata mchambuzi wa mpira lazma amusifiye domo eti kagere kafanana diamond platnumz
 
Huyu ni vuvuzela tu
 
Bado mnasikiliza habari za michezo radioni?!
 
Unapata tabu na Diamond, ila uzuri humpunguzii kitu.

Kitenge ni Professional, ukimpandia dau unamchua ,kesho anaweza rudi tena Wasafi, sio wewe magroup mia ya WhatsApp huna mda hata wa kuijenga carrier yako.
Ila mkuu kitaalamu inatwa career sio carrier...
 
Hicho kipindi kina wachambuz
Karibia 10 Kwa wakati mmoja

Sasa nauliza hao n wachambuz
Au n kituo cha daldadal kupgia
Debe??
 
Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni, ebu punguza makasiriko halafu mpe heshima yake The genius George Ambangile
 
Hicho kipindi kina wachambuz
Karibia 10 Kwa wakati mmoja

Sasa nauliza hao n wachambuz
Au n kituo cha daldadal kupgia
Debe??
Ukishavuta bangi zako unaona double double, Punguza Matumizi ya bangi na makasiriko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…