Kiufupi tu nisiongee mengi JamiiForums imenifundisha mengi

JamiiForums imenifundisha mengi kwanzia mambo ya kimaisha,uchumi,kidini,kimahusiano na vyote niwashukuru wote walioleta mchango humu na tuendelee kudumisha umoja na mshikamano..asanteni.
Samahani, hivi wenzangu mnapata jukwaa gani mafunzo humu?!!!!! Mi naona muda wote humu ni habari za chadema tu wakimuombea Dua mbaya Samia.
 
Mwenye shukrani siku zote hubarikiwa
 
Samahani, hivi wenzangu mnapata jukwaa gani mafunzo humu?!!!!! Mi naona muda wote humu ni habari za chadema tu wakimuombea Dua mbaya Samia.
Nenda kaoshe wagonjwa matako

Mama mitano tena
Kama hutaki kunywa sumu
 
Back
Top Bottom