kelvinvevo
Senior Member
- Sep 12, 2021
- 132
- 439
Hakuna chama ambacho sijajifunza kutoka kwao..CCM imekufundisha au imekupotosha?
Samahani, hivi wenzangu mnapata jukwaa gani mafunzo humu?!!!!! Mi naona muda wote humu ni habari za chadema tu wakimuombea Dua mbaya Samia.JamiiForums imenifundisha mengi kwanzia mambo ya kimaisha,uchumi,kidini,kimahusiano na vyote niwashukuru wote walioleta mchango humu na tuendelee kudumisha umoja na mshikamano..asanteni.
Mwenye shukrani siku zote hubarikiwaJamiiForums imenifundisha mengi kwanzia mambo ya kimaisha,uchumi,kidini,kimahusiano na vyote niwashukuru wote walioleta mchango humu na tuendelee kudumisha umoja na mshikamano..asanteni.
Nenda kaoshe wagonjwa matakoSamahani, hivi wenzangu mnapata jukwaa gani mafunzo humu?!!!!! Mi naona muda wote humu ni habari za chadema tu wakimuombea Dua mbaya Samia.