Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nah huruma mapema sana. Tusubiri hadi uishe msimu wote ndio huruma itakuja.Binafsi nawaonea huruma, ila kwa namna fulani nafurahi mana kwa miaka zaidi ya sita wametesa sana watu hasa miaka minne hii ya mwisho.
HahahaBinafsi nawaonea huruma, ila kwa namna fulani nafurahi mana kwa miaka zaidi ya sita wametesa sana watu hasa miaka minne hii ya mwisho.
Yaani hadi msimu uishe tutaona mengiHahaha
Waarabu waliowaokoa sana ,pesa iliowaokoa na wakatutesa sanaaa ngoja tufurahie kidogo mkuu au sio😁
Hafu mpira ukiisha wachezaji wanajifanya wapo calm.Huyu guardiola anajionagga master, hajui kuwa kila mtu ana anguko lake, wenga, fegi wote walipata wababe hao, kwa hip asijikute malaika fulani hivi
Walitusumbua sana hawa jamaa. Ebu watoke kabisa ata top 10.Timu imekuwa chawote hii 😃😃😀😀😀😀
Naunga mkono hoja 💯💯Walitusumbua sana hawa jamaa. Ebu watoke kabisa ata top 10.
Wanafungiwa Etihad sembuse ugenini?Ngoja magoli yarudi