johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Haya mambo ya mihimili ni lugha za kisiasa tu lakini kiuhalisia Rais wa JMT yuko juu ya Bunge na Mahakama.
Ndio maana Mtendaji mkuu wa Bunge ni mteule wa Rais na anafanya kazi kwa karibu " zaidi " na Waziri Mkuu na Mwanasheria Mkuu wa Serikali.
Rais ana uwezo wa kulivunja Bunge.
Watendaji wakuu wa Mahakama JM, JK, Majaji ni wateule wa Rais
Rais hawezi kushtakiwa Mahakamani.
Ramadhan Kareem!
Pia soma