johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kikatiba Bunge (Parliament) lina sehemu mbili, wabunge na Rais.
Kwa katiba ya sasa ni hivyo... ni sehemu ya Bunge.Rais ni mkuu wa mhimili serikali. Hapaswi kuwa sehemu ya bunge.
Na Upande wa urais kuna Wabunge ambao n mawaziri.Kikatiba Bunge (Parliament) lina sehemu mbili, wabunge na Rais.
Kwa katiba ya sasa ni hivyo... ni sehemu ya Bunge.
Haya mambo ya mihimili ni lugha za kisiasa tu lakini kiuhalisia Rais wa JMT yuko juu ya Bunge na Mahakama.
Ndio maana Mtendaji mkuu wa Bunge ni mteule wa Rais na anafanya kazi kwa karibu " zaidi " na Waziri Mkuu na Mwanasheria Mkuu wa
Serikali.
Rais ana uwezo wa kulivunja Bunge.
Watendaji wakuu wa Mahakama JM, JK, Majaji ni wateule wa Rais
Rais hawezi kushtakiwa Mahakamani.
Ramadhan Kareem!
Pia soma
Usisahau mishahara na posho za Wabunge zinalipwa na Serikali. Bunge halina TRA yake. Hivyo, who pays the Piper, choose a song.
dahMishahara ya Serikali, Bunge na Mahakama inalipwa na walipa kodi. Serikali haina pesa zake nje ya kodi ya wananchi.
Na mimi natamani hivyo maana bunge limekuwa utopolo mtupuNasubiri tu hilo bunge livunjwe wacha niote.
ni kweli kabisa hata hiyo miswada wanaayopitisha haziwi sheria mpaka raisi asainiHaya mambo ya mihimili ni lugha za kisiasa tu lakini kiuhalisia Rais wa JMT yuko juu ya Bunge na Mahakama.
Ndio maana Mtendaji mkuu wa Bunge ni mteule wa Rais na anafanya kazi kwa karibu " zaidi " na Waziri Mkuu na Mwanasheria Mkuu wa
Serikali.
Rais ana uwezo wa kulivunja Bunge.
Watendaji wakuu wa Mahakama JM, JK, Majaji ni wateule wa Rais
Rais hawezi kushtakiwa Mahakamani.
Ramadhan Kareem!
Pia soma