KENZY
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 32,529
- 76,691
Ieleweke hivi muda ni uwepo/the existance of space.. Muda hupimwa kwenye space i mean the way space exist it's the way we can get time/time existance. Space kama ilivyo haionyeshi kwenda mbele wala kurudi nyuma but imestill hivyo hivyo, what is happen it's just actions..
Yeah actions ndio hutokea kwenye space na hapa ndipo tunapojichanganya na kuona kama muda huenda mbele.. Naomba nieleweke hivi space is the place where action can happen and something can exist.
Vitendo kama kukua mfano mdogo mpk mkubwa,majira(usiku na mchana) hivi ni baadhi ya vitendo ambavyo tumejidanganya kuwa muda unaenda mbele lkn sivyo, muda uko vilevile palepale ila kinachotokea ni actions kwenye space!
Ukitaka kupata uhalisia wa hichi nikisemacho think about universe na vitu vinavyopatikana, chukua uwepo wako fikiri kuhusu hili.. Sorry kwa kuchanganya lugha nisameeni bure..
Unaruhusiwa kukosoa.
KARIBUNI!