Kiuhalisia dhana ya muda kuwa unaenda mbele ni potofu

Kiuhalisia dhana ya muda kuwa unaenda mbele ni potofu

Ieleweke hivi muda ni uwepo/the existance of space.. Muda hupimwa kwenye space i mean the way space exist it's the way we can get time/time existance.
Space kama ilivyo haionyeshi kwenda mbele wala kurudi nyuma but imestill hivyohivyo,what is happen it's just actions..
Yeah actions ndio hutokea kwenye space na hapa ndipo tunapojichanganya na kuona kama muda huenda mbele.. Naomba nieleweke hivi space is the place where action can happen and something can exist.
vitendo kama kukua mfano mdogo mpk mkubwa,majira(usiku na mchana) hivi ni baadhi ya vitendo ambavyo tumejidanganya kuwa muda unaenda mbele lkn sivyo,muda uko vilevile palepale ila kinachotokea ni actions kwenye space!.

ukitaka kupata uhalisia wa hichi nikisemacho think about universe na vitu vinavyopatikana, chukua uwepo wako fikiri kuhusu hili..
sorry kwa kuchanganya lugha nisameeni bure..

unaruhusiwa kukosoa

KARIBUNI!

Kwanza ningependa unipe maana ya muda kama uielewavyo!
 
Ningependa uandike tena maana ya muda kama ukipenda, hapo juu pananichanganya kidogo!
muda ni uwepo means ile hali ya kuwepo na vitu vipo kwenye uwepo wa space kwa tafsiri nyengine naweza sema jinsi space inavyo still hapo ndivyo tunavyoweza ku count time
 
Muda ni nini..?
Time is a component quantity of various measurements used to sequence events, to compare the duration of events or the intervals between them, and to quantify rates of change of quantities in material reality or in the conscious experience.
 
muda ni uwepo means ile hali ya kuwepo na vitu vipo kwenye uwepo wa space kwa tafsiri nyengine naweza sema jinsi space inavyo still hapo ndivyo tunavyoweza ku count time
Muda una count whatever happened hata ile Ku count tuu ni event.ili mladi kuna ufahamu
 
Time is a component quantity of various measurements used to sequence events, to compare the duration of events or the intervals between them, and to quantify rates of change of quantities in material reality or in the conscious experience.
unataka kuniambia kama hakuna events hakuna muda..?
 
Nimemuelewa, yuko sahihi. Fikiri hivi, uanaanza form One hadi form Four (action) muda wa miaka minne (space), anamaanisha kadri unasogea sio muda unakwenda bali action yako ndio inaenda kwisha, I can be corrected...cc KENZY
upo sahihi
 
Muda una exist pale unapopata ufahamu.kwamba nipo hapa SAA ngapi? SAA moja okay basi kuna SAA 2,3 mpaka SAA 24 zitimie
he he he kazi ipo mkuu nitarudi baadae tuwekane sawa
 
Una kitu labda cha kuelezea ila jinsi ulivyoelezea yan sijakupata kabisa...ebu tulia alafu uelezee tena labda naweza elewa..alafu pia tumia lugha moja..hyo changanya changanya ya lugha ndio umenipoteza kabisa
 
Muda ni dhana/jambo la kufikirika tu. Muda si kitendo/tukio. Muda ni dhana tunayotumia kuelezea matukio yaliyotokea na yatakayotokea. Muda haujitegemei..... unahitaji ufanye tukio/kitendo fulani ili dhana ya muda iwezetumika.

Mleta uzi upo sahihi.
 
Muda hautegemei tukio .muda upo tuu kama Hamna muda basi Hakuna uhai..sio lazima tukio liwepo ndo muda uanze Ku hesabika..Hii mada inahitaji kutulia aisee
 
Muda hautegemei tukio .muda upo tuu kama Hamna muda basi Hakuna uhai..sio lazima tukio liwepo ndo muda uanze Ku hesabika..Hii mada inahitaji kutulia aisee
Sasa huoni unajichanganya? Unasema kama hakuna muda basi hakuna uhai....hii maana yake nini sasa? Kwamba muda na uhai (life vinategemeana?)

Hapa tunazungumza dhana ya muda. Vile tunavyotumia dhana ya muda. Chunguza kwa makini muda ni dhana tu kusipokuwepo kitendo muda haupo.

Dai lako na uhai na muda hapa unaingiza mambo mengine kabisa.

Mimi nikisema "lazima tukio liwepo ili dhana ya muda iweze tumika" hapa tayari nimeshakubali uhai upo.....sasa tukio litatukia vipi angali hakuna uhai?
 
Uhai ni tukio kwani .kwani hata uwanjani wasipo ingia uwanjani muda unasimama.??yani kunapokuwepo ufahamu wa kutambua muda basi muda upo.ufanye usifanye muda unahesabu tu.
 
hebu fikiria mfano wa chumba ambacho kipo empty au universe is empty yani kuna space tu je hapo hiyo space inaonyesha kwenda mbele ama kurudi nyuma..? bila shaka jibu ni hapana..
kwa dhana hii ndio maana nasema muda ni uwepo au hali ya ku-exist.
space ni mahala popote ambapo kitendo kinaweza kutokea au kitu kuwepo,kwa tafsiri nyengine naweza sema kwenye space ndipo mahala panapoweza kufanyika tukio na kitu kuwepo sasa kwenye space ndipo tunapopima kitu kinachoitwa muda lkn kitu hichi ni man made sio natural... na muda unapimwa due to the way space exist/still..

kama nilivyosema space ni mahala ambapo kitendo kinaweza kufanyi sasa kinachotuchanganya na kudhani kuwa muda unaenda mbele ni hivi vitendo mfano mchana na usiku,ukuaji,na maswala yetu haya ya kalenda(man made) n.k.. kikubwa hapa ni actions happen on space na space iko vilevile so kitendo cha kuona time inaenda mbele ni upotofu..

hapo je..?
sawa mkuu
 
Back
Top Bottom