Kiuhalisia dhana ya muda kuwa unaenda mbele ni potofu

Kwanza ningependa unipe maana ya muda kama uielewavyo!
 
Ningependa uandike tena maana ya muda kama ukipenda, hapo juu pananichanganya kidogo!
muda ni uwepo means ile hali ya kuwepo na vitu vipo kwenye uwepo wa space kwa tafsiri nyengine naweza sema jinsi space inavyo still hapo ndivyo tunavyoweza ku count time
 
Muda ni nini..?
Time is a component quantity of various measurements used to sequence events, to compare the duration of events or the intervals between them, and to quantify rates of change of quantities in material reality or in the conscious experience.
 
muda ni uwepo means ile hali ya kuwepo na vitu vipo kwenye uwepo wa space kwa tafsiri nyengine naweza sema jinsi space inavyo still hapo ndivyo tunavyoweza ku count time
Muda una count whatever happened hata ile Ku count tuu ni event.ili mladi kuna ufahamu
 
Time is a component quantity of various measurements used to sequence events, to compare the duration of events or the intervals between them, and to quantify rates of change of quantities in material reality or in the conscious experience.
unataka kuniambia kama hakuna events hakuna muda..?
 
Muda una count whatever happened or not happened hata ile Ku count tuu ni event.ili mladi kuna ufahamu
tuje hapa nikivipi muda una exist..?
 
Nimemuelewa, yuko sahihi. Fikiri hivi, uanaanza form One hadi form Four (action) muda wa miaka minne (space), anamaanisha kadri unasogea sio muda unakwenda bali action yako ndio inaenda kwisha, I can be corrected...cc KENZY
upo sahihi
 
Muda una exist pale unapopata ufahamu.kwamba nipo hapa SAA ngapi? SAA moja okay basi kuna SAA 2,3 mpaka SAA 24 zitimie
he he he kazi ipo mkuu nitarudi baadae tuwekane sawa
 
Una kitu labda cha kuelezea ila jinsi ulivyoelezea yan sijakupata kabisa...ebu tulia alafu uelezee tena labda naweza elewa..alafu pia tumia lugha moja..hyo changanya changanya ya lugha ndio umenipoteza kabisa
 
Muda ni dhana/jambo la kufikirika tu. Muda si kitendo/tukio. Muda ni dhana tunayotumia kuelezea matukio yaliyotokea na yatakayotokea. Muda haujitegemei..... unahitaji ufanye tukio/kitendo fulani ili dhana ya muda iwezetumika.

Mleta uzi upo sahihi.
 
Muda hautegemei tukio .muda upo tuu kama Hamna muda basi Hakuna uhai..sio lazima tukio liwepo ndo muda uanze Ku hesabika..Hii mada inahitaji kutulia aisee
 
Muda hautegemei tukio .muda upo tuu kama Hamna muda basi Hakuna uhai..sio lazima tukio liwepo ndo muda uanze Ku hesabika..Hii mada inahitaji kutulia aisee
Sasa huoni unajichanganya? Unasema kama hakuna muda basi hakuna uhai....hii maana yake nini sasa? Kwamba muda na uhai (life vinategemeana?)

Hapa tunazungumza dhana ya muda. Vile tunavyotumia dhana ya muda. Chunguza kwa makini muda ni dhana tu kusipokuwepo kitendo muda haupo.

Dai lako na uhai na muda hapa unaingiza mambo mengine kabisa.

Mimi nikisema "lazima tukio liwepo ili dhana ya muda iweze tumika" hapa tayari nimeshakubali uhai upo.....sasa tukio litatukia vipi angali hakuna uhai?
 
Uhai ni tukio kwani .kwani hata uwanjani wasipo ingia uwanjani muda unasimama.??yani kunapokuwepo ufahamu wa kutambua muda basi muda upo.ufanye usifanye muda unahesabu tu.
 
sawa mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…