Kiuhalisia dhana ya muda kuwa unaenda mbele ni potofu

Muda hautegemei tukio .muda upo tuu kama Hamna muda basi Hakuna uhai..sio lazima tukio liwepo ndo muda uanze Ku hesabika..Hii mada inahitaji kutulia aisee
umeanza kuelewa sasa hapo uliposema hamna muda basi hakuna uhai ungesema hamna space basi hakuna action(uhai ikiwa ni moja ya action pia) au kitu ku exist..hivyo utaeleweka vizuri mkuu
 
Una kitu labda cha kuelezea ila jinsi ulivyoelezea yan sijakupata kabisa...ebu tulia alafu uelezee tena labda naweza elewa..alafu pia tumia lugha moja..hyo changanya changanya ya lugha ndio umenipoteza kabisa
twende kwa njia ya maswali nahakika utanipata..
unaelewa nini kuhusu nafasi(space)..? au nafasi ni nini..?
 
kwanza nikupongeze kwa maelezo murua ila naomba ufafanuzi juu ya kwamba Mungu alifanya kazi siku sita ila siku ya saba akapumzika vipi hili suala halihusiani na muda kwenda mbele
 
kwanza nikupongeze kwa maelezo murua ila naomba ufafanuzi juu ya kwamba Mungu alifanya kazi siku sita ila siku ya saba akapumzika vipi hili suala halihusiani na muda kwenda mbele
binafsi sifungamani ni maswala ya kimungu lkn ntakujibu kwa mfano huu..
chukulia karatasi ndo kama space,uchoraji ndio kama kitendo ambacho kitakachotokea kwenye karatasi (space) halafu mchoro ndio kama something ambacho kitaexist kwenye karatasi(space)..

sasa kitendo cha uchoraji kinatokea kwenye karatasi(space) mpk kinakamilika je unaweza kuniambia hapo hiyo karatasi as space imeenda mbele..?(coz tunapima muda kwenye space).

swala la siku hiyo ni action ambayo hutokea kwenye space lkn haifanyi space kwenda mbele(muda kwenda mbele) muda upo kama ulivyo tu. ukitaka kujua jambo hili vyema futa kichwani mwako kitu kinachoitwa saa this is man made..
 
Kwahiyo suala la miadi(appointment) nalo linaweza kuzungumziwa vp katika hii mada ya muda au nitakuwa niko nje ya mada?
 
Kwahiyo suala la miadi(appointment) nalo linaweza kuzungumziwa vp katika hii mada ya muda au nitakuwa niko nje ya mada?
ni kitendo kama vitendo vyengine vinavyo happen kwenye space
 
Hebu nifafanulie vizuri katika hili la appointment?
najua kinachokuchanganya ni ule ufahamu(recorded) kwamba past up to future! na ile action ya kubadilika kwa majira(asubuhi,mchana,jioni ama mchana na usiku) sasa chukulia upo kwenye space ambapo kuna action ya mwanga tu au giza tu haichenji halafu hapo huyo ulo na appointment nae anaweza kukwambia mkutane muda gani...?
 
Ndiyo,anaweza.
 
inaelekea kuna kitu unaelewa ila kukieleza umeshindwa iwe kwa kiswahili au kingereza.
Time travels ndiyo maana kuna wana sayansi wanahisi wanaweza kutengeneza time traveling machine.
 
inaelekea kuna kitu unaelewa ila kukieleza umeshindwa iwe kwa kiswahili au kingereza.
Time travels ndiyo maana kuna wana sayansi wanahisi wanaweza kutengeneza time traveling machine.
mbona nilichoeleza kipo wazi lbd wewe ndo hujaelewa
 
Ni kweli mkuu, na inahitaji fikra kubwa kuelewa, nawashangaaga sana wanaosema 'kesho ikifika' tatizo ni pale unapoambiwa ajira hutoka tarehe fulani [emoji3]
 
Hivyo vitendo ndo muda wenyewe maana bila kua na hayo matendo na mabadiliko yake kusingekua na kitu tunaita muda/wakat/majira/zama n.k.Kwaiyo usichanganywe na saa au kalenda ukafik huo ndo muda.Hapana muda ni matendo yakimfumo yanayotukia nakubadilika kulingana nayenyewe.Kwaiyo binadam alitengeneza tu wakat na kalenda ili kutautisha tukio la leo na jana.
 
Vitendo sio muda mkuu,vitendo vinategemea space ili viweze kutokea/kufanyika dhana ya muda still ipo kwenye space ndio maana nikasema muda ni uwepo kwa maana ya kuwepo uwezekano wavitendo kutokea na vitu kuwepo na hivi vyote vinatokea kwenye space hata ukitoa vitendo na uwepo wa vitu kwenye space time will exist.
 
Basic fundamental physical quantities are length, Mass, time, and electric current, temperature, luminous intensity.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…