Kuna mtu anakaa mji huo huo Mpaka anakufa hajaenda hijaKwa mwaka ni Waislamu milioni mbili tu ndio huenda Hija Mecca kati ya Waislamu bilioni mbili duniani kote na hiyo inaifanya Hija kama nguzo mojawapo ya Uislamu kuwa nadharia zaidi kuliko uhalisia.
Nguzo ya tano ya Uislamu ni kwa ajili ya matajiri na walio karibu na Mecca.
Hata Ukristo na Uhindu piaUislam hautaweza kushindana nao kwa kelele, maandishi wala chochote kutoka kwako au kwa mwingine yoyote dunia hii
Chuki yako dhidi ya Uislam inakuumiza wewe kuliko Waislam bilion 2
Unezaliwa uliukuta na utakufa Uislam utabaki bila athari yoyote kutoka kwako
Hapo hujala, hujalala unauwaza Uislam wakati carrot ya mia 3 inakuliza
Get a life bro!
Endelea na upagani wako!
Mtu masikini aombe msaada wa tajiriKwa hyo Mungu ana ubaguzi?
Ikiwa mtu A ameenda macca kwa sababu ana fedha na amemudu kwenda anasamehewa dhambi Na vi pi mtu B ambae ameshindwa kwenda kwa sababu hana nauli dhambi zake hatasamehewa,,
In logic ? Lengo la kwenda macca n lipi?
YesHata Ukristo na Uhindu pia
Hakuna nguzo hata moja, hayo yote ni ubatili mtupu.Kwa mwaka ni Waislamu milioni mbili tu ndio huenda Hija Mecca kati ya Waislamu bilioni mbili duniani kote na hiyo inaifanya Hija kama nguzo mojawapo ya Uislamu kuwa nadharia zaidi kuliko uhalisia.
Nguzo ya tano ya Uislamu ni kwa ajili ya matajiri na walio karibu na Mecca.
Toka usingizin.Hijja ni ibada kama ilivyo kutoa Zaka.
Kwa wenye uwezo.
Haina tofauti na kwenda kwa bw mwamposa. Ni ujinga ule ule kwenye mlengo tofauti.kwenda kuliabudu na kulibusu jiwe jeusi sio.
Wajinga ndio waliwao.
Kwamba wanaoenda hijja ni matajiri tu?..swala nayo ni nadharia tu, maana katika waislam billion mbili wachache sana huswaliKwa mwaka ni Waislamu milioni mbili tu ndio huenda Hija Mecca kati ya Waislamu bilioni mbili duniani kote na hiyo inaifanya Hija kama nguzo mojawapo ya Uislamu kuwa nadharia zaidi kuliko uhalisia.
Nguzo ya tano ya Uislamu ni kwa ajili ya matajiri na walio karibu na Mecca.