masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 16,207
- 14,343
mkuu lakini ushawah sikia hao watu,gHuwezi kuwa mchi na mtwangio kwa wakati moja. Ukiona unataka kuwa nazi na mbuzi ya kukunia nazi basi ujue una matatatizo.
kwa hamu na upendo sidhani kama vyote vipo sawa nadhani kuna kimoja kina mzidia mwenzieWapo, mi nawajua madada flani hivi wawili ni lesbians ila pia ni vicheche hatari
duuuh nipo chatoMamende kibao wameoa,na wasagaji kibao wanapelekewa moto kama kawa!
Kama hujawahi shuhudia hama huko ntunyungu,njoo town!
ladyfocus , I like the way you deeply focus on your speculations !
Kutamani wanawake na wanaume wenzake kwa upande wa wanaume au kutamani wanawake wenzake na wanaume kwa upande wa wanawake, binafsi nimeisikia kwenye mitandao na baadhi ya maandiko ikiwemo ma star kadhaa kuhusishwa na hiyo aina ya mapenzi,
lakini katika maisha ya kawaida sijawahi shuhudia hao watu.
Vipi kweli wapo?
NooooKutamani wanawake na wanaume wenzake kwa upande wa wanaume au kutamani wanawake wenzake na wanaume kwa upande wa wanawake, binafsi nimeisikia kwenye mitandao na baadhi ya maandiko ikiwemo ma star kadhaa kuhusishwa na hiyo aina ya mapenzi,
lakini katika maisha ya kawaida sijawahi shuhudia hao watu.
Vipi kweli wapo?