Kiuhalisia mtu anaweza kuwa bi - sexual?

masai dada

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2013
Posts
16,207
Reaction score
14,343
Kutamani wanawake na wanaume wenzake kwa upande wa wanaume au kutamani wanawake wenzake na wanaume kwa upande wa wanawake, binafsi nimeisikia kwenye mitandao na baadhi ya maandiko ikiwemo ma star kadhaa kuhusishwa na hiyo aina ya mapenzi,
lakini katika maisha ya kawaida sijawahi shuhudia hao watu.

Vipi kweli wapo?
 
Wanajiendekeza nakuiga mambo ya Watu matokeo Yake wanakubuhu Kwenye laana...
 
Huwezi kuwa mchi na mtwangio kwa wakati moja. Ukiona unataka kuwa nazi na mbuzi ya kukunia nazi basi ujue una matatatizo.
 
mkuu lakini ushawah sikia hao watu,g
 
Wapo, mi nawajua madada flani hivi wawili ni lesbians ila pia ni vicheche hatari
 
Mamende kibao wameoa,na wasagaji kibao wanapelekewa moto kama kawa!
Kama hujawahi shuhudia hama huko ntunyungu,njoo town!
 
masai dada ngoja kuna demu mmoja hivi atakuja kukujibu vizuri sana,but its un-godly thing.mungu hajaruhusu uchafu huo,but for some people are freak on bed so they can do anything to reach their climax.grossssssssss
 
Last edited by a moderator:
Wapo, mi nawajua madada flani hivi wawili ni lesbians ila pia ni vicheche hatari
kwa hamu na upendo sidhani kama vyote vipo sawa nadhani kuna kimoja kina mzidia mwenzie

uwenda ni vicheche kwa kuwa kuna maslai labda lakini mioyo yao ni homosexual kimaslah ni bi
 
ladyfocus , I like the way you deeply focus on your speculations !

yule binadamu humu ndani anayeunganishaga mada zoote za mtu atusaidie mkuu cjui ndio anaitwa nani vile mwiteni hapa mtaona kama si kweli.
 
Last edited by a moderator:
Masai dada sasa inamaana ww hujawahi kuwaona mbona mitandao ya kijamii wapo na mtaani pia wapo uko dunia hii ya leo kweli au unataka upewe link uwaone na kitaa pia upewe majina
 
Kutamani wanawake na wanaume wenzake kwa upande wa wanaume au kutamani wanawake wenzake na wanaume kwa upande wa wanawake, binafsi nimeisikia kwenye mitandao na baadhi ya maandiko ikiwemo ma star kadhaa kuhusishwa na hiyo aina ya mapenzi,
lakini katika maisha ya kawaida sijawahi shuhudia hao watu.

Vipi kweli wapo?

Wapo tena sana. Kuna jirani hapa alimfuma mme wake aliyezaa naye watoto akiwa na mkaka flani wanageuzana kitandani.
 
Kutamani wanawake na wanaume wenzake kwa upande wa wanaume au kutamani wanawake wenzake na wanaume kwa upande wa wanawake, binafsi nimeisikia kwenye mitandao na baadhi ya maandiko ikiwemo ma star kadhaa kuhusishwa na hiyo aina ya mapenzi,
lakini katika maisha ya kawaida sijawahi shuhudia hao watu.

Vipi kweli wapo?
Noooo
 
Back
Top Bottom