Megalodon
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 3,534
- 7,866
Hizi timu mbili bila kuwekewa Discipline na sheria kali soka letu halitokuwa.
Taratibu za mazoezi zipo wazi kwa mwenyeji na mgeni. Wasimamizi wa Uwanja wanajulikana na wenye mamlaka ya kuruhusu nani aingie nani asiingie wanajulikana; je mabaunsa wa Yanga wananafasi gani kwenye Utaratibu wa Uwanja?
Wanaolinda Uwanja ni mabaunsa wa Yanga au watumishi walioajiriwa na serikali ?
Hiuu ni Uzembe: Meneja wa Uwanja anatakiwa kuadhibiwa, hii ndio madhara ya kupeana vyeo. Tunavijana wengi wenye uwezo na akili….. wapewe hizo nafasi.
Waliozuia Simba kuingia, kama hawakuwa na mamlaka na walitumwa na Yanga…… Yanga ilipishwe Faini…na adhabu ya kupokonywa point 3 … kama SSC ndio makosa yao…….. wapokonywe point 3 na faini Juu.
Bodi ya Ligi, msipojifunza kusimamiq Sheria mtaharibu Soka na litakuwa soka la timu 2 tu ….that is bad Je maamuzi ya kuhairisha mechi yana consider namna mashabiki wanavyoathirika? Anyway !
Kuna huyu anaejiita Ali kamwe na Ahmed Ally … hawa vijana wanaongea sana hadi wanatoka nje ya mstari, nashauri bila kuwapa Discipline hawa ipo siku watawavua nguo….. usemaji kwao ni kama Umbea na kuropoka. Pigeni Komea hata la 2 years wapunguze mdomo……..
. Si mnaona Manara mdomo kaupunguza snaa . Hao matahaira wawili wanaitaji kufuli la miaka hata 2 . They talk too much na hawana mipaka…… wanaharibu soka na kuvunjia heshima waamuzi sana.
Pamoja na Yote, bado nilimpa Yanga credit ya kushinda …… SSC Hana pumzi na consistency , pia wanamakosa madogo madogo mengi sna…. Kwa mfano Azam alirudisha goli daki ya 86, serious?
So sikuiona SSC ikiifunga Yanga wala ku draw bali niliona Yanga alishinda… and this does not mean kuwa Yanga ni Timu bora ; Yanga sio timu bora ndio mana haikuweza hata kutoboa makundi
Dr Megalodon
Canada