ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Bila hela hupati malavidadiWe mpe hela huyo mwanamke.
Sisi wenzio Kuna inshu tunazisikilizia.
Hela na mapenzi kipi chenye thamani Sana siku hiziMkuu kesho saa nne asubuhi ufike makao makuu ya UWABATA.
Kwa tuhuma za kukishambulia chama cha UWABATA.
Msemaji wa UWABATA.
Kichwa Kichafu.
Naanzisha chama Cha wanaume ambao sio wa bahili kivile tupeane michongo ya kuingiza DollarWewe endelea kuwapa, na sisi mchongo wetu ukitick tutawapa tu... bado tunausikilizia.