ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Hamna Mwanaume rijali asiyetoa hela yake kwa msichana tunaliwa wote, embu UWABATA wa kweli ajitokeze aseme Kama hajawahi kuhonga.
Dhambi zote Ni biashara na biashara zipo kila point katika Dunia tumezaana tumefikia billion Saba ni kwa sababu ya rushwa ya mapenzi michezo hiyo mbona ipo Sana.
Hakuna mkate mgumu ndani ya chai hakuna Mwanaume mgumu haswa mbele ya mwanamke japo wapo baadhi kweli wanatunzwa na wanawake yaani full mahitaji na wenyewe wanaenda kugawa baadhi kwa wanawake wengine.
Sent using Jamii Forums mobile app