Hahahahh atume picha tuonesasa mkuu tutakuonaje kuwa umekula au haujala maana hapa ni nyuma ya pazia
Babuu ni rapper mkali bhana,sijui kwa nini kaachaBora hata ya 'BABUU wa KITAA'..
Jmn i thnk anafanya izo hipop cjui for fun....he z my best presenterJamaa kutangaza serious hawezi,anytime yeye ni comedy tu.ila ananogesha vipindi.ila huyu jamaa analazimisha sana kuwa msanii wa hiphop,kurap hawezi kabisa yaani sijui kwa nini analazimisha
Kama ni tarrent sawa anayoadam sio muimbaji ni rapper anaefanya rap katuni anauwezo sana mbona we skiliza line zake huyu jamaa ana tarrent anaonesha utofauti wake sana yupo gud mbona mkuu
Acha kumfananisha Babuu wa Kitaa na vitu vya ............Bora hata ya 'BABUU wa KITAA'..
....kipuuziAcha kumfananisha Babuu wa Kitaa na vitu vya ............
Kwa mara ya kwanza tumeenda sawaanapiga makelele tu
Jamaa kutangaza serious hawezi,anytime yeye ni comedy tu.ila ananogesha vipindi.ila huyu jamaa analazimisha sana kuwa msanii wa hiphop,kurap hawezi kabisa yaani sijui kwa nini analazimisha
[emoji15] [emoji15] [emoji15] utani mwingine sio mzuri..Kama unapenda rap na unaifeel mchomvu rap anajua, ana punch anajua kubadilika had kucheza na maneno. Ila naona kama anafanya for fun wakat kuna rappers hapa bongo wapo sirias lakin hawamfikii huyu jamaa. Kwenye utangazaji sjui mi spo vzur kufuatilia vipind
HahahaCc sam misago
Tarrent=talent.
Nakubaliana na wewe[emoji15] [emoji15] [emoji15] utani mwingine sio mzuri..