Kiukweli Adamu mchomvu hajui kuimba

Kiukweli Adamu mchomvu hajui kuimba

hujui mziki wewe. ungeuliza mchomvu anafanya mziki gani ujibiwe
 
Jamaa kutangaza serious hawezi,anytime yeye ni comedy tu.ila ananogesha vipindi.ila huyu jamaa analazimisha sana kuwa msanii wa hiphop,kurap hawezi kabisa yaani sijui kwa nini analazimisha
Jmn i thnk anafanya izo hipop cjui for fun....he z my best presenter
 
adam sio muimbaji ni rapper anaefanya rap katuni anauwezo sana mbona we skiliza line zake huyu jamaa ana tarrent anaonesha utofauti wake sana yupo gud mbona mkuu
Kama ni tarrent sawa anayo
 
Kama unapenda rap na unaifeel mchomvu rap anajua, ana punch anajua kubadilika had kucheza na maneno. Ila naona kama anafanya for fun wakat kuna rappers hapa bongo wapo sirias lakin hawamfikii huyu jamaa. Kwenye utangazaji sjui mi spo vzur kufuatilia vipind
[emoji15] [emoji15] [emoji15] utani mwingine sio mzuri..
 
Kweli bro jamaa yuko talented sana kwa kutangaza.. amebarikiwa.. kuimba awaachie wengine.. sometimes anabahatisha aliimba vzur kwenye mchizi wangu remix.. hajawai kuimba vzur tena mpaka jua limepatwa na tetemeko limetokea
 
Jamaa hajui mie binafsi simpendi...tena mnooooo hajui loo
 
Lakini adam anao uwezo wa kufanya hiphop.

Hivi kwa mfano umweke Mansu Lee na Adam kura itaenda kwa nani?

Uwezo anao baba jonii katika level zake.
 
Eeeeeh twendeni pole hajui hajui kama mnamlipia pesa ya studio eeeh kuwa mwanaume wa dar ni hatari sana.
 
Back
Top Bottom