Kiukweli Ahmed Ally anafanya kazi ngumu sana ila hana bahati tu pale Simba

Kiukweli Ahmed Ally anafanya kazi ngumu sana ila hana bahati tu pale Simba

AI BRAINFULL

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2019
Posts
2,122
Reaction score
5,319
Mwamba anapambana sana na anapigishwa sana short za kauli za mwisho na uongoz ila jamaa anakaza fuvu tu
 
Jamaa anajitwika mzigo wa timu nzima peke yake, which is impossible.
 
JAPO SIKUHIZI SIPENDI KUONGELEA MASUALA YA MPIRA LAKINI ANAYEFANYA SAJILI HIZI HAFAI KABISA NDANI YA SIMBA. ANAIANGAMIZA SIMBA.

1. Golikipa hatoshi.(Lete Kamala)
2. Tafuta beki wa kushoto (kata maema)
3. Tafuta kiungo No 6
(Kata katleso)
4. Tafuta Mshambuliaji No 9
(Kata DUMBIA).

Baadhi ya Mashabiki ni Wajinga wanamlalamikia Mangungu
 
Ahmed Ally na Mangungu ndiyo injini na gear box ya simba. Matola, Magori na Mo ndiyo tatizo kwenye timu.
 
Back
Top Bottom