Dodoma leo
JF-Expert Member
- Jan 7, 2021
- 1,336
- 1,658
Nchi yetu ya Tanzani, mifumo ya kudhibiti mfumuko wa Bei Bado hauko vizuri, ukilinganisha na nchi zingine. Kutangazwa Kwa wastan wa kupanda Kwa mishahara kutaendana na mfumuko wa Bei za vitu kuanzia mwez Julai, kutokana na iman Kuwa wafanyakaz Kwa Sasa wana hela. Nakumbuka kipindi Cha Mzee wa msoga hakupenda Kabsa kutangaza kiwango Cha mishahara kupanda Kwa Sababu hyo.
Lazima tukubali Kuwa mifumo ya kudhibiti mfumuko wa Bei hauko vizuri, Hii inapelekea vitu kupanda Bei pasipo Kuwa ufuatiliaji nzuri.
Najua watu watasema MBNA Kenya rais wao ametangaza lakni mifumo ya Kenya tofauti Kabsa na Tanzania. Wenzetu washafika mbali kwwnye Hilo.
Zanzibar Rais wao ametangaza ila hatuwez kujilanganisha nao Kwa Sababu Bei za vitu Zanzibar hadi Sasa viko chini.ndo maana petrol wao ni sh 2600 na sisi huku 3300.
Rais amefanya Jambo JEMA sana kuwakumbuka wafanyakazi baada ya kipindi kirefu. Ila nyongeza Ingekuwa kimya kimya na watu wangepata wangeliongelea baada ya mishahara kupanda ingesaidia kudhibiti mfumuko wa Bei.