Kiukweli barabara pana zipo baadhi ya maeneo tu lakini kuanzia Njombe hadi Manispaa ya Songea ni shida

Milazetu

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2025
Posts
300
Reaction score
270
Ukipita barabara hiyo hupati utulivu wa safari barabara haijatulia yani chombo chako cha usafiari hakitatulia kwakuwa barabara si smooth halafu nyembamba.Hali hii inaweza kupelekea kuasababisha ajali za magari au hata waenda kwa miguu,na maeneo ya madaraja yapanuliwe.
 
Pia ina mashimo mengi sana, ukiweka na zile kona kona za milimani hii njia sio salama sana. Ila kama kawaida haitofanyiwa kazi mpaka siku watu mamia wafe kwenye ajali mfululizo ndio itapata attention.

Ila pesa za kununua goli huwa zinapatikana!! So sad
 
Hatari sana mkaa yanapita huku kila siku.
 
Imejengwa early 1980s na kampuni ya Balfour Beaty ya waingereza, kiukweli inahitaji maboresho makubwa kuanzia Makambako
 
Imejengwa early 1980s na kampuni ya Balfour Beaty ya waingereza, kiukweli inahitaji maboresho makubwa kuanzia Makambako
Kuanzia Kifanya mradi ulianza kusuasua ndipo Gama akalazimisha iwe isiwe mkeka utandazwe hadi Songea hata kwa kunyunyizia lami 😁

Shemeji wa taifa enzi zile πŸ˜‚πŸ‡ΉπŸ‡Ώ
 
Lukumburu moja ya sehemu hatari sana ilikukosakosa mkuu
Mabasi ya KAMATA yalikuwa Layland Albion kwahiyo pale tulikuwa tunashuka halafu tunapanda mlima kwa miguu

Baada ya lami ndio Juma Ngalema wa Lindi akatuletea zile Kiswele Scania

Kitambo sana bwashee πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‡ΉπŸ‡Ώ
 
Utaizoea tu, hizo njia tunatembe 140 wala hatuogopi
 
Mshindani wake akiwa Special Coach
Nakumbuka Kiswele madereva Rwambo, Okalla na Yoge na kule Special Coach unawakuta John Africa na Mapunda

Ile Ligi sitaisahau ikaja kuzimwa na Giriki wa. Tawaqal

Kitambo sana bwashee πŸ˜πŸ˜πŸ‡ΉπŸ‡Ώ
 
Nakumbuka Kiswele madereva Rwambo, Okalla na Yoge na kule Special Coach unawakuta John Africa na Mapunda

Ile Ligi sitaisahau ikaja kuzimwa na Giriki wa. Tawaqal

Kitambo sana bwashee πŸ˜πŸ˜πŸ‡ΉπŸ‡Ώ
Usimsahau Peter Chamtumavi
 
Nakumbuka Kiswele madereva Rwambo, Okalla na Yoge na kule Special Coach unawakuta John Africa na Mapunda

Ile Ligi sitaisahau ikaja kuzimwa na Giriki wa. Tawaqal

Kitambo sana bwashee πŸ˜πŸ˜πŸ‡ΉπŸ‡Ώ
Kumbe we mkulungwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…