Kiukweli Bocco hata kama unatufungia magoli ila jiandae kufungasha virago mwakani

Mtarban

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2015
Posts
3,858
Reaction score
5,101
Sidhani kama tutakusajili tena msimu ujao lazima ufungashe virago, tunashukuru kwa kazi unayoifanya ila hatuwezi kubaki na wewe katika msimu wa 2018/2019

Ni hayo tu
 
Jamaa kawa kama costa tu........The Gold but cheap....

[HASHTAG]#Atubu[/HASHTAG]
 
hlf unakuta kanakojisemelesha hivi ni kashabiki tu hakana hata cheo cha kuleta hata mtikisiko wa upepo...
ndoto haijawahi kumuacha mtu salama
 
Sidhani kama tutakusajili tena msimu ujao lazima ufungashe virago, tunashukuru kwa kazi unayoifanya ila hatuwezi kubaki na wewe katika msimu wa 2018/2019

Ni hayo tu

Kwani wewe na vilaza wenzio wa uanachama ndio technical bench ya MO? Haikuhusu hata kidogo nani anasajiliwa au vinginevyo. Simba mlioizoea ya kumpangia kocha mambo ya kufanya ni historia sasa. Jiandae kissikolojia kukubali ukweli huu. Nafasi ya kuchukia tu wachezaji mkawafukuza haipo. Ukitaka hilo nenda yanga huko bado huo mfumo unaishi.
 
Ukitaka kuamini kuna wachezaji wana bahati, basi mf hali ni huyu Juma Luizio! Mtibwa to ZESCO, ZESCO TO SIMBA! Daah
 
Sidhani kama tutakusajili tena msimu ujao lazima ufungashe virago, tunashukuru kwa kazi unayoifanya ila hatuwezi kubaki na wewe katika msimu wa 2018/2019

Ni hayo tu
Yanga mna wivu sana!
Bocco ana magoli yenu kadhaa? Mjiandae tu kwa bakora zake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…