Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ulitoa shs ngap za kumsajili?Sidhani kama tutakusajili tena msimu ujao lazima ufungashe virago, tunashukuru kwa kazi unayoifanya ila hatuwezi kubaki na wewe katika msimu wa 2018/2019
Ni hayo tu
Huyu sijui karoga?hafai hata kucheza ndondo lakini anapangwaKuna 'mzigo' mwingne pale Juma Luizio. Hata sijui anabaki Simba kufanya nini
Nicolous GyanKuna 'mzigo' mwingne pale Juma Luizio. Hata sijui anabaki Simba kufanya nini
Aende wapi? Si Bora mngemwacha Azam?Sidhani kama tutakusajili tena msimu ujao lazima ufungashe virago, tunashukuru kwa kazi unayoifanya ila hatuwezi kubaki na wewe katika msimu wa 2018/2019
Ni hayo tu
Sidhani kama tutakusajili tena msimu ujao lazima ufungashe virago, tunashukuru kwa kazi unayoifanya ila hatuwezi kubaki na wewe katika msimu wa 2018/2019
Ni hayo tu
Huyu dogo ni very talented,hajapata nafasi ya kutosha mkuu. Trust meNicolous Gyan
Ule sio mzigo bali ni furushi.Kuna 'mzigo' mwingne pale Juma Luizio. Hata sijui anabaki Simba kufanya nini
Yanga mna wivu sana!Sidhani kama tutakusajili tena msimu ujao lazima ufungashe virago, tunashukuru kwa kazi unayoifanya ila hatuwezi kubaki na wewe katika msimu wa 2018/2019
Ni hayo tu
Ktk point za simba, goli zake pekee zimechangia point 9.Boko bonge la player acheni majungu
Ktk point za simba, goli zake pekee zimechangia point 9.Boko bonge la player acheni majungu