AH forever
Senior Member
- Sep 9, 2024
- 139
- 189
Pamoja sana mkuuAndiko zuri sana tena linafikirisha na kutafakurisha
Mr Wiseman asante sana mkuu.Umenena vema, mwenye AKILI kubwa kama yako walishamuelewa gwajima. Hana kosa
Lakini kwa kuwa uchaguzi bado na hatuna MPANGO WA kurekebisha chochote kulingana na madai ya wapinzani, bado formula ya next'nized' inaendelea. TUVUTE SUBIRA
Uzi sisomi ila umenifanya nisikitike kweliSijui hizo suffixes "nized" ziko sawa gramatically au la!! Mliosoma HGL na "L" zingine mtanisahihisha kama nitakuwa nimechemka.
Naungana na wanaCCM wanaolaani press ya Gwajima. Lakini pia natofautiana nao kwenye mantiki ya hoja zake.
Kimsingi sina uhakika kama Askofu Gwajima hajawahi kusoma kitabu cha Robert Greene cha "48 LAWS OF POWER".
Ktk kitabu hicho law#1 inasema "NEVER OUTSHINE THE MASTER". Chini ya kanuni hii,kwenye medani za kivita,Askofu Gwajima amekiuka kanuni hii.
Mwandishi wa kitabu hiki anashauri kwamba pamoja na miguvu na mamlaka aliyoagizwa ya kuisimamia nchi hii (kama anavyodai) basi ilikuwa kosa kubwa kumsema bosi wake hadharani.
Kwa kufanya hivyo ni kujihatarishia maisha na nafasi yako. Kumsema live boss wako rais,Mwenyekiti wa Chama,kukivua chama chako CCM hadharani ambae ndiye master wako ni hatari ama ya wazi au kificho. Kuwashusha thamani watu wa usalama ni ku-outshine the master.
Sifanyi ramli lakini yawezekana alichofanya kikaja kulipa positively baadae akini naziona negatives zikilalia mzani zaidi.
Lakini pia hata mila na desturi za Kiafrika ni kama zilitufunga minyororo hivi kumkosoa na kumvua nguo mkubwa hadhara. Haiyumkiniki baba akitoa ushuzi,mtoto ukapiga ukelele wa kicheko mbele ya wageni. Wale watu wazima wasio kizazi cha watoto wa 2000 mnajua kingekupata kitu gani.
Hili nalo limetusaidia kufika hapa tulipo kama waafrika lakini lilifinya uwezo wa fikra dudumizi. Maana lilitufanya tuwe mabubu hata kwenye key issues. Kwa mfano baba akiwa Chapombe,kutapanya mali,mtu ya totozi nk nk kulikuwa hakuna room ya kumkosoa mzee.
PAMOJA NA SABABU ZINGINE KADHA WA KADHA(hata wewe waweza ongezea) MIKTADHA HII MIWILI ITOSHE KUSEMA ASKOFU GWAJIMA KAFANYA JAMBO SAHIHI KATIKA SEHEMU ISIYO SAHIHI.
Pamoja na makosa yote ya Askofu Gwajima. Pamoja na makofi yote yaliyopigwaa jana pale kwenye ukumbi ya Kikwete alivyopondwa Gwajima,LAKINI MWANDISHI WA BANDIKO HILI anahoji je kama wana-CCM tumeaswa tusiwe Gwajimanized,Je wana-CCM tuungane tuendelee ku-Mdudenize? ku-Kitimanize? Ku-Kibaonize?
Niwatakie WaJumamosi(kule upareni hawajui Sabato,wanawaita wajumamosi,hahahaaa) wote Sabato njema.
Sijui hizo suffixes "nized" ziko sawa gramatically au la!! Mliosoma HGL na "L" zingine mtanisahihisha kama nitakuwa nimechemka.

Niwatakie WaJumamosi(kule upareni hawajui Sabato,wanawaita wajumamosi,hahahaaa) wote Sabato njemNi
Nimelisoma andiko zaidi ya mara tatuUmenena vema, mwenye AKILI kubwa kama yako walishamuelewa gwajima. Hana kosa
Lakini kwa kuwa uchaguzi bado na hatuna MPANGO WA kurekebisha chochote kulingana na madai ya wapinzani, bado formula ya next'nized' inaendelea. TUVUTE SUBIRA
Kwa lipi sasa mkuu kati ya hayo mawili?Kila mwanaccm mwenye akili atauungana na Gwajima
Asante sana kwa pongezi kutoka kwa Dr tena la Kihaya. 😂Andiko zuri.
Thanks for your appreciationsAkili yako inafanya kazi mkuu🤝
Ndege wafananao.Mseveni na mkewe wamwomba samahani kwa Waganda
Mwenyezi Mungu, Atupe Ufahamu Watu Wake.Sijui hizo suffixes "nized" ziko sawa gramatically au la!! Mliosoma HGL na "L" zingine mtanisahihisha kama nitakuwa nimechemka.
Naungana na wanaCCM wanaolaani press ya Gwajima. Lakini pia natofautiana nao kwenye mantiki ya hoja zake.
Kimsingi sina uhakika kama Askofu Gwajima hajawahi kusoma kitabu cha Robert Greene cha "48 LAWS OF POWER".
Ktk kitabu hicho law#1 inasema "NEVER OUTSHINE THE MASTER". Chini ya kanuni hii,kwenye medani za kivita,Askofu Gwajima amekiuka kanuni hii.
Mwandishi wa kitabu hiki anashauri kwamba pamoja na miguvu na mamlaka aliyoagizwa ya kuisimamia nchi hii (kama anavyodai) basi ilikuwa kosa kubwa kumsema bosi wake hadharani.
Kwa kufanya hivyo ni kujihatarishia maisha na nafasi yako. Kumsema live boss wako rais,Mwenyekiti wa Chama,kukivua chama chako CCM hadharani ambae ndiye master wako ni hatari ama ya wazi au kificho. Kuwashusha thamani watu wa usalama ni ku-outshine the master.
Sifanyi ramli lakini yawezekana alichofanya kikaja kulipa positively baadae akini naziona negatives zikilalia mzani zaidi.
Lakini pia hata mila na desturi za Kiafrika ni kama zilitufunga minyororo hivi kumkosoa na kumvua nguo mkubwa hadhara. Haiyumkiniki baba akitoa ushuzi,mtoto ukapiga ukelele wa kicheko mbele ya wageni. Wale watu wazima wasio kizazi cha watoto wa 2000 mnajua kingekupata kitu gani.
Hili nalo limetusaidia kufika hapa tulipo kama waafrika lakini lilifinya uwezo wa fikra dudumizi. Maana lilitufanya tuwe mabubu hata kwenye key issues. Kwa mfano baba akiwa Chapombe,kutapanya mali,mtu ya totozi nk nk kulikuwa hakuna room ya kumkosoa mzee.
PAMOJA NA SABABU ZINGINE KADHA WA KADHA(hata wewe waweza ongezea) MIKTADHA HII MIWILI ITOSHE KUSEMA ASKOFU GWAJIMA KAFANYA JAMBO SAHIHI KATIKA SEHEMU ISIYO SAHIHI.
Pamoja na makosa yote ya Askofu Gwajima. Pamoja na makofi yote yaliyopigwaa jana pale kwenye ukumbi ya Kikwete alivyopondwa Gwajima,LAKINI MWANDISHI WA BANDIKO HILI anahoji je kama wana-CCM tumeaswa tusiwe Gwajimanized,Je wana-CCM tuungane tuendelee ku-Mdudenize? ku-Kitimanize? Ku-Kibaonize?
Niwatakie WaJumamosi(kule upareni hawajui Sabato,wanawaita wajumamosi,hahahaaa) wote Sabato njema.
Hahahaa!! Kwa nini mkuu hujasoma? Na kwani umesikitika. Tia neno mkuu roho zetu ziponeUzi sisomi ila umenifanya nisikitike kweli
Kifoo n kifoooSijui hizo suffixes "nized" ziko sawa gramatically au la!! Mliosoma HGL na "L" zingine mtanisahihisha kama nitakuwa nimechemka.
Naungana na wanaCCM wanaolaani press ya Gwajima. Lakini pia natofautiana nao kwenye mantiki ya hoja zake.
Kimsingi sina uhakika kama Askofu Gwajima hajawahi kusoma kitabu cha Robert Greene cha "48 LAWS OF POWER".
Ktk kitabu hicho law#1 inasema "NEVER OUTSHINE THE MASTER". Chini ya kanuni hii,kwenye medani za kivita,Askofu Gwajima amekiuka kanuni hii.
Mwandishi wa kitabu hiki anashauri kwamba pamoja na miguvu na mamlaka aliyoagizwa ya kuisimamia nchi hii (kama anavyodai) basi ilikuwa kosa kubwa kumsema bosi wake hadharani.
Kwa kufanya hivyo ni kujihatarishia maisha na nafasi yako. Kumsema live boss wako rais,Mwenyekiti wa Chama,kukivua chama chako CCM hadharani ambae ndiye master wako ni hatari ama ya wazi au kificho. Kuwashusha thamani watu wa usalama ni ku-outshine the master.
Sifanyi ramli lakini yawezekana alichofanya kikaja kulipa positively baadae akini naziona negatives zikilalia mzani zaidi.
Lakini pia hata mila na desturi za Kiafrika ni kama zilitufunga minyororo hivi kumkosoa na kumvua nguo mkubwa hadhara. Haiyumkiniki baba akitoa ushuzi,mtoto ukapiga ukelele wa kicheko mbele ya wageni. Wale watu wazima wasio kizazi cha watoto wa 2000 mnajua kingekupata kitu gani.
Hili nalo limetusaidia kufika hapa tulipo kama waafrika lakini lilifinya uwezo wa fikra dudumizi. Maana lilitufanya tuwe mabubu hata kwenye key issues. Kwa mfano baba akiwa Chapombe,kutapanya mali,mtu ya totozi nk nk kulikuwa hakuna room ya kumkosoa mzee.
PAMOJA NA SABABU ZINGINE KADHA WA KADHA(hata wewe waweza ongezea) MIKTADHA HII MIWILI ITOSHE KUSEMA ASKOFU GWAJIMA KAFANYA JAMBO SAHIHI KATIKA SEHEMU ISIYO SAHIHI.
Pamoja na makosa yote ya Askofu Gwajima. Pamoja na makofi yote yaliyopigwaa jana pale kwenye ukumbi ya Kikwete alivyopondwa Gwajima,LAKINI MWANDISHI WA BANDIKO HILI anahoji je kama wana-CCM tumeaswa tusiwe Gwajimanized,Je wana-CCM tuungane tuendelee ku-Mdudenize? ku-Kitimanize? Ku-Kibaonize?
Niwatakie WaJumamosi(kule upareni hawajui Sabato,wanawaita wajumamosi,hahahaaa) wote Sabato njema.
Lilikuwa jambo jema na la kiungwana sana thou inawezekana limekuja too late.Mseveni na mkewe wamwomba samahani kwa Waganda