Kiukweli CCM tusikubali kuwa gwajimanized, lakini je tuendelee ku-Mdudenize,ku-Kitimanize au ku-Kibaonize?

Ngoja wakuzingire
Kwa lipi sasa mkuu.

Mbona bandiko ni positive kabisa kwa ustawi wa nchi yetu. Kama mama au washauri wake watapitia humu,hope atachukua kitu positive. Nyie ndio washauri wa mama nini?? Nyie ndio mnampotosha mama wakati alianza vzr sana nini?

Maana hata leo ningesimamishwa mbele ya ule umati pale JCC,hotuba yangu ingekuwa na mwelekeo huuhuu.

Ningemkemea[wazaramo wanasema "Ningemsema"] Askofu Gwajima coz imagine hata wewe ndg yangu, uchanwe live namna ile,halafu uwe na miguvu yote ya madaraka,ungejisikiaje? Gwajima ni askofu,ni Mbunge,ni Mnec etc alishindwaje kuwasilisha mawazo yake privately? Hilo nalo linaleta ukakasi.

Lakini hapohapo ningezichukua na kuzitumia hoja za Askofu Gwajima na ningetoa suluhisho ni namna gani tufanye ili tusonge mbele sasa.
 
PAMOJA NA SABABU ZINGINE KADHA WA KADHA(hata wewe waweza ongezea) MIKTADHA HII MIWILI ITOSHE KUSEMA ASKOFU GWAJIMA KAFANYA JAMBO SAHIHI KATIKA SEHEMU ISIYO SAHIHI.
Nakazia,
Alichosema Gwajima ni sahihi kabisa.
Kosa lake tu ni kama la Ndugai, hawakuzingatia kanuni ya kwanza ya Robert Green kwenye kitabu tajwa.

Ila kama wana masikio wasikie.
Mbinu ya kuteka na kuua wananchi siyo endelevu, wasipoacha watakwama vibaya mno
 
Sahihi kabisa kiongozi.

Nailed
 
Gwajima ni askofu,ni Mbunge,ni Mnec etc alishindwaje kuwasilisha mawazo yake privately? Hilo nalo linaleta ukakasi.
Inawezekana walishafanya hivyo bila mafanikio. Alisema kuna wakuu kadhaa wa idara nyeti walishatumbuliwa awamu hii, pengine ni kutokana na kuwasilisha maoni kama hayo yake.

Kama hiyo ni kweli, pengine angewasilisha ushauri wake privately angeishia kukutana na matokeo hayo hayo
 
Kwa sasa tubaki na "labda" "labda.
Labda inge.....
Labda ange....
 
Sijui hizo suffixes "nized" ziko sawa gramatically au la!! Mliosoma HGL na "L" zingine mtanisahihisha kama nitakuwa nimechemka.

Naungana na wanaCCM wanaolaani press ya Gwajima. Lakini pia natofautiana nao kwenye mantiki ya hoja zake.

Kimsingi sina uhakika kama Askofu Gwajima hajawahi kusoma kitabu cha Robert Greene cha "48 LAWS OF POWER".

Ktk kitabu hicho law#1 inasema "NEVER OUTSHINE THE MASTER". Chini ya kanuni hii,kwenye medani za kivita,Askofu Gwajima amekiuka kanuni hii.

Mwandishi wa kitabu hiki anashauri kwamba pamoja na miguvu na mamlaka aliyoagizwa ya kuisimamia nchi hii (kama anavyodai) basi ilikuwa kosa kubwa kumsema bosi wake hadharani.

Kwa kufanya hivyo ni kujihatarishia maisha na nafasi yako. Kumsema live boss wako rais,Mwenyekiti wa Chama,kukivua chama chako CCM hadharani ambae ndiye master wako ni hatari ama ya wazi au kificho. Kuwashusha thamani watu wa usalama ni ku-outshine the master.

Sifanyi ramli lakini yawezekana alichofanya kikaja kulipa positively baadae akini naziona negatives zikilalia mzani zaidi.

Lakini pia hata mila na desturi za Kiafrika ni kama zilitufunga minyororo hivi kumkosoa na kumvua nguo mkubwa hadhara. Haiyumkiniki baba akitoa ushuzi,mtoto ukapiga ukelele wa kicheko mbele ya wageni. Wale watu wazima wasio kizazi cha watoto wa 2000 mnajua kingekupata kitu gani.

Hili nalo limetusaidia kufika hapa tulipo kama waafrika lakini lilifinya uwezo wa fikra dudumizi. Maana lilitufanya tuwe mabubu hata kwenye key issues. Kwa mfano baba akiwa Chapombe,kutapanya mali,mtu ya totozi nk nk kulikuwa hakuna room ya kumkosoa mzee.

PAMOJA NA SABABU ZINGINE KADHA WA KADHA(hata wewe waweza ongezea) MIKTADHA HII MIWILI ITOSHE KUSEMA ASKOFU GWAJIMA KAFANYA JAMBO SAHIHI KATIKA SEHEMU ISIYO SAHIHI.

Pamoja na makosa yote ya Askofu Gwajima. Pamoja na makofi yote yaliyopigwaa jana pale kwenye ukumbi ya Kikwete alivyopondwa Gwajima,LAKINI MWANDISHI WA BANDIKO HILI anahoji je kama wana-CCM tumeaswa tusiwe Gwajimanized,Je wana-CCM tuungane tuendelee ku-Mdudenize? ku-Kitimanize? Ku-Kibaonize?

Niwatakie WaJumamosi(kule upareni hawajui Sabato,wanawaita wajumamosi,hahahaaa) wote Sabato njema.
Inasikitisha sana
 
Usisome biblia kama kitabu cha hadithi na kwenye siasa iko hivyo huwenda gwajima anasifiwa kwa kazi nzuri huko alipo kazi ni huku kwetu tu
 
Watazalisha kenge zaidi
 
Attachments

  • FDownloader.Net_AQMLUDeyElZm_tSJGOkF3NFJMySzOq9u6wS_iXjgmqj8awMs64sKyxFEdhSpDO2Uy5lrrvKq6yMqiS...mp4
    3.9 MB
Giza na Nuru havichangamani haikuwa sahihi kwa Gwajima kuingia kwenye siasa ukiingia kwenye siasa ili tumbo lisiwe tupu ni lazima ukubali kuchafuka.
Kaamua kusimama kwenye Nuru akitazama kioo
 
Usisome biblia kama kitabu cha hadithi na kwenye siasa iko hivyo huwenda gwajima anasifiwa kwa kazi nzuri huko alipo kazi ni huku kwetu tu
Ebwanaee!! Kwamba inawezekana ni special mission? Kwamba hata hao wanaomsapoti Askofu Gwajima kumbe inawezekana anawang'ong'a?
 
Limama litakuwa uaji hilo
Si ajabu linajua magufuli alikufaje
 
Wanaupiga mwingi nje ya Uwanja Kapteni wao haeleweki anacheza nini kila pass anayopewa anabutua uelekeo wowote ule.

Hakuna aliyejibu hoja ya Gwajima. Maswali ya Gwajima yamekuwa Magumu sana kujibiwa. Wanapuyanga tu kama kuku alokatwa kichwa akaachiliwa akimbie..

Wanamshambulia Gwajima badala ya kushambulia hoja zake. Ni ukosefu wa akili na uelewa. CCM wapo nyuma kwa bao tatu na bado wote wamerudi nyuma kulinda lango lao. Wanapoteza muda na kila mara wanatoa mpira nje na kucheza rough zisizo na msingi.

Kocha wao naye hajielewi anabwatuka tu kuwa wacheze rough watoe mpira nje. CCM wanaonekana hawana namna ya kujibu mashambulizi yanayoelekea langoni mwao zaidi ya kuruka ruka na kubutua mpira. Gwajima anacheza kwa utulivu mkubwa akiwasoma wapinzani wake. Anacheza kwa kujiamini.
 
Tumekuelewa Mwanajukwaa; ni muhimu ku-harmonize haya masuala!
 
Ni ufalanize kutukuzalize mjinganize kwanini asikolewelize? Faknize
 
Back
Top Bottom