Kiukweli CCM tusikubali kuwa gwajimanized, lakini je tuendelee ku-Mdudenize,ku-Kitimanize au ku-Kibaonize?

Japokuwa mi ni Islamic ila natamani j pili hii nikaswali kwa Gwajima kwamaana najuwa kwenye misa yake atatoa bandiko lamoto kabisa litakalowaweka watekaji uchi kabisa.
 
Shetani wenu ameshawavumbilia Misemo yenu ya kishaitwan
 
Japokuwa mi ni Islamic ila natamani j pili hii nikaswali kwa Gwajima kwamaana najuwa kwenye misa yake atatoa bandiko lamoto kabisa litakalowaweka watekaji uchi kabisa.
Hahahaaa!! Unataka za mooooto kabisa kabla hazijapoa..
 
Mama kalitafuta mwenyeweee
Kaja na meno moja watanzania wanakuja na maneno kumi.
 
Umenena vema, mwenye AKILI kubwa kama yako walishamuelewa gwajima. Hana kosa
Lakini kwa kuwa uchaguzi bado na hatuna MPANGO WA kurekebisha chochote kulingana na madai ya wapinzani, bado formula ya next'nized' inaendelea. TUVUTE SUBIRA
unaweza kuwq na kila kitu duniani ila mungu akakunyima ka kitu flan hiv kakakutesa mpaka kaburin.inafika mahal una akiomba kifo lakin hakiji
 
Msimamo ndio huo mkuu.
Ndio maana wanaunga mkono hoja ya Kibaonize hawaja nangwa wala kupigwa vijembe.
 
Ngoja wakuzingire
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…